HESLB bodi ya mikopo yatoa majina Ya wanafunzi walipata mkopo 2019/2020

Iphone x

New Member
Mar 12, 2019
1
0
HESLB bodi ya mikopo yatoa majina Ya wanafunzi walipata mkopo 2019/2020 -

How to check for HESLB loan allocation 2019/20 - Access to lists of Higher Education Students' Loans Board HESLB loan beneficiaries 2019/20



 
HESLB bodi ya mikopo yatoa majina Ya wanafunzi walipata mkopo 2019/2020 -

How to check for HESLB loan allocation 2019/20 - Access to lists of Higher Education Students' Loans Board HESLB loan beneficiaries 2019/20




Hakuna Majina aisee!
 
Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kuliona jina langu ila wito wangu kwa serikali naomba iwaangalie na wenzetu wengine ambao hawakubahatika kuona majina yao batch one wawapangie majina yao haraka ili kuwaondolea hofi
 
Swala la mikopo ni ujinga mtupu. Mkopo maana yake ni kwamba you borrow money and pay back after graduating and employment. Sasa hili swala la eti kundi la kwanza alafu la pili alafu hujulikani kama utapata inakuwaje?

Mwanangu nilimsomesha Marian girls na kufaulu vizuri sana. Ilikuwa kwa shida sana kumsomesha maana ada ilikuwa kubwa na haikuwa rahisi kwangu kifedha. Nashukuru amepata chuo cha udaktari Bugando. Lakini, nimejikuta nalazika kulipa nusu ya ada mwaka wa kwanza au hasinge kuwa admitted kutokana na deadline.

Jambo la ajabu sijui kwanini hawa bodi ya mikopo mpaka leo hawaja mpatia mkopo mtoto wangu. Nimejitaidi hapo nyuma kumsomesha shule binafsi ili apate good grades kuingia university. Lakini sasa hivi hali yangu kifedha hairuhusu. Na ada inafika mpaka million 4 kwa mwaka, ningepata msaada wa mkopo ungesaidia sana. Hali yangu kifedha sivyo kama hapo nyuma na sijui kama mtoto akikataliwa mkopo itakuwaje?
 
Back
Top Bottom