Serendipity
JF-Expert Member
- Jan 24, 2009
- 486
- 43
Labda Urusi au CubaHivi ulisoma wapi Degree yako?
Labda Urusi au CubaHivi ulisoma wapi Degree yako?
ndio serikali ilikuwa haikusanyi madeni zamani lakini sasa hivi wameanza kukusanya, kwa hiyo wanaodaiwa walipe.
nashangaa mnaodaiwa mnang'ang'ania serikali ilikuwa haikusanyi madeni mnataka kutafuta sababu, hata kama serikali ilikuwa haikusanyi sasa hivi imeamua kukusanya lipeni, acheni ubinafsi
hivi wewe hukosoma Tanzania nini?Kwenye miaka ya 2000 hata form za mikopo hazikwepo.Ni kweli watu hawajui wanadaiwa kiasi gani. Mengine yalikuwa ni grants. ada za vyuo enzi hizo hata hakuna anayekwambia. Vyuo wala bodi wenyewe hawatoi stakabadhi.Waswahili bwana ni watu wa ajabu.
Wasipopewa mkopo shida tupu. Walipewa mkopo leo wanajifanya kuuliza sijui barua sijui statement, hivi kweli hujui ulikopa shilingi ngapi na unatakiwa kulipa shilingi ngapi?
Hii inaonyesha hamkuwa na nia ya kulipa ndio sababu mmesahau madeni yenu ni shilingi ngapi!
Lipeni au wawapeleke mahakamani. Hivi bond zenu ilikuwa ni nini vile? zile nyumba za baba zenu? na mashamba yao?
Mama yangu weeeeeeeeeee mmekwisha. Kalipeni haraka wengine wasome.
unajidhalilisha sanaUnajua humu kuna watu makanithi wanaongea kama wanaujauzito mchanga. Eti unang'ang'aniza watu walipe mikopo..hivi unajua kuwa suala la mkopo ni suala binafsi? Unajua conditions na schedules za mikopo? Unajua ni kiasi gani? Unajua agreed contractual terms? Unawajua parties husika na responsibilities zao? etc..Kama hujui una-comment nini sasa? nyambafu.
Wewe kama baba yako ni fisadi alikusomesha private college, tuliza kitenesi wala usitie mguu kwenye personal issues za watu..hii thread itabaki kama reminder au taarifa tu na katu mtu asidhanie anaweza kumfanya mtu alipe mkopo kwa mijikwara mbuzi na hoja za kijinga eti wengine wasome. Kusoma kwa mtu A hakuna uhusiano wa mojakwamoja na mkopo wa mtu B.
unajidhalilisha sana
na dini yako unaidhalilisha pia
pole sana mdogo wangu
huu ni utoto!Unajua humu kuna watu makanithi wanaongea kama wanaujauzito mchanga. .
huu ni utoto!
hata usipotumia hizi lugha za kidhalilishaji bado watanzania TUTAKUELEWA!
ulichokiongea ni cha msingi,lakini huitaji kutumia hiyo lugha smtmz
Lipeni au wawapeleke mahakamani. Hivi bond zenu ilikuwa ni nini vile? zile nyumba za baba zenu? na mashamba yao?
msg SENT!Hii ndio lugha unayoitaka si ndio?
mpaka sasa sijasikia majina hayo kutangazwa...kama vipi fuatilia at;Naomba hii ikae kwa muda ili tupate some infomation kutoka kwa walio nchini.
mzee we HESLB walikunyima nn mkopo? naona umeshikia bango ile mbaya...teh teh teh...Kuna wanafunzi wanakosa mikopo kwa ajili ya wajanja njaa wanao kwepa kwepa kulipa mikopo lipeni jamani na wadogo zenu wasome au mlijua mnapewa bure zile pesa?
watabeba boksi na kulipa kidogo kidogo!mzee we HESLB walikunyima nn mkopo? naona umeshikia bango ile mbaya...teh teh teh...
kuna wanafunzi walipelekwa Urusi na walipewa more than Tshs 35M (mkopo kwa ujumla), je watalipaje mikopo yao?
kuna baadhi ya wanafunzi waliomba kwa mfano $10,000/= per year na akapiga mi-signature yake....bodi ikatuma $9000/=, je mtu kama huyo malipo yake itakuwaje kwani documents zinaonyesha alikopa $10,000/=, msaada plz...watabeba boksi na kulipa kidogo kidogo!
ukweli ni kwamba hizo hela mzilipe
kuna baadhi ya wanafunzi waliomba kwa mfano $10,000/= per year na akapiga mi-signature yake....bodi ikatuma $9000/=, je mtu kama huyo malipo yake itakuwaje kwani documents zinaonyesha alikopa $10,000/=, msaada plz...