Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

CABANA

JF-Expert Member
Feb 6, 2013
418
546
Habari za jioni wanajf....bodi ya mikopo ya elimu ya juu leo hii imetangaza majina ya wanufaika wa awamu ya kwanza ( 1 batch ) ...wa mikopo hiyo...taarifa hiyo imetolewa na kurugenzi ya bodi hiyo.

====

Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (Heslb) imetangaza orodha ya kwanza ya majina ya wanafunzi 30,675 wa mwaka wa kwanza waliopata mikopo kwa ajili ya mwaka wa masomo wa 2019/2020 yenye thamani ya Sh113.5 bilioni.

Kati ya idadi hiyo, wanaume ni 19,632 sawa na asilimia 64 ya waliopata mikopo awamu ya kwanza.

Mkurugenzi Mtendaji wa Heslb, Abdul-Razak Badru amesema orodha iliyotolewa leo ni ya kwanza lakini mchakato wa kuwapangia wanafunzi mikopo utaendelea kulingana na uhitaji na uchambuzi wa taarifa za wanafunzi wanaodahiliwa vyuoni.
Badru amesema Sh125 bilioni tayari zimetolewa na Serikali ili kugharimia mkopo kwa awamu ya kwanza, ambapo Sh116 bilioni zimetengwa kwa ajili ya wanafunzi wa mwaka kwanza ambao wataanza masomo hivi karibuni.

Hata hivyo, amesema awamu ya pili ya waliopata mikopo itatangazwa wiki ijayo kabla ya Oktoba 25, baada ya kukamilisha uchambuzi wa maombi ya mikopo kwa wanafunzi waliochelewa kukamilisha taratibu za udahili vyuoni na maombi ya mkopo mtandaoni.

Wanafunzi waliopata mikopo wanatakiwa kuingia katika akaunti zao walizotumia kuomba mikopo hiyo.
 
Ahsante kwa taarifa lakini kwenye page yao sijaiona. Tuwekee link basi tuingie huko.
 
MajiNa Hatuyaoni
 
kwani kuna ulazima wa kutoa hizo takwimu?
 
Jamani naingia mwaka wa pili nauliza haya majina yatanihusu au ni wale wa mwaka wa kwanza tu mana nilikosa mwaka wa kwanza Kwaiyo niliomba tena
 
Sidhani kama bodi ya mikopo wana taratibu ya kutuma majina mtandaoni ya waliopata mkopo.
Majina yatatumwa chuoni.

Ila wewe ili ujue inakupasa uingie kwenye account uliyotumia kuomba mkopo uingize details zako na utakuta majibu yako pale.
Mwaka Jana walifanya hivyo
 
Back
Top Bottom