The Sheriff

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
618
1,803
Regrow.png

Mnamo Aprili 18, 2024, Benki ya Dunia imesitisha mara moja utoaji wa fedha kutekeleza mradi wa REGROW nchini Tanzania kuanzia mara moja. Hatua hii ni baada ya taasisi ya Oakland Institute kufanya advocacy kwa niaba ya niaba ya wakazi wa maeneo ambayo wataathiriwa na mradi huo.

Mradi huo wa dola milioni 150 ulianza mwaka 2017 kwa lengo la "kuendeleza" rasilmali za utalii kusini mwa Tanzania lakini utafiti wa taasisi hiyo mwaka 2023 ulibaini kuwa ulikuwa unafadhili uhamishaji wa watu kwa nguvu na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya jamii zinazoishi karibu na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (RUNAPA).

Akielezea kuhusu uamuzi wa Benki hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Oakland, Anuradha Mittal, amesema, "Hatua hii muhimu sana ya Benki ya Dunia kusimamisha mradi huu hatari na ni hatua muhimu kwa uwajibikaji na upatikanaji wa haki. Hatua hii inatuma ujumbe mkubwa kwa serikali ya Tanzania kwamba kuna consequences kwa ukiukaji wa haki unaofanyika nchini kote ili kukuza utalii. Siku za kutowajibika hatimaye zinakaribia mwisho."

Mwezi wa Septemba 2023, Taasisi hiyo ilichapisha ripoti inayoitwa "Unaccountable & Complicit," ikivunja ukimya kuhusu jukumu la Benki ya Dunia katika shughuli za ukandamizaji zinazoendelea kwenye HIFADHI YA RUNAPA.

Ripoti hiyo iliweka bayana mipango ya serikali ya kuwaondoa zaidi ya watu 20,000 kutoka ardhi yao ili kupanua mipaka ya hifadhi. Pia ilidokeza ghasia na utekaji wa mifugo ulioenea uliofanywa na maaskari wa wanyamapori wa TANAPA, ambao wanafadhiliwa na Benki, ambao ulitekelezwa kwa mpangilio ili kuwalazimisha watu kuhama kutoka kwenye ardhi yao.

Wakati wa kufahamishwa kwa mara ya kwanza juu ya unyanyasaji na ukiukwaji wa kanuni zake mwezi wa Aprili 2023, Benki ya Dunia ilisema siyo kosa lake na ikashindwa kuchukua hatua. Okakland Institute iliwasilisha ombi la ukaguzi kwa Jopo huru la Uchunguzi la Benki mwezi wa Juni 2023 kwa niaba ya wakazi wa Wilaya ya Mbarali. Mwezi wa Novemba 2023, Bodi ya Wakurugenzi Watendaji wa Benki ya Dunia iliidhinisha mapendekezo ya Jopo la Ukaguzi ya kuanzisha uchunguzi uliolenga hatua za maaskari wa TANAPA.

==========

Oakland, CA – As of April 18, 2024, the World Bank has suspended disbursements for the REGROW project in Tanzania with immediate effect – following steadfast advocacy by the Oakland Institute on behalf of impacted villagers. The US$150 million project began in 2017 to “develop” tourism assets in Southern Tanzania but the Institute’s research in 2023 revealed it was directly financing evictions and egregious human rights abuses against communities living near the Ruaha National Park (RUNAPA).

“The long overdue decision of the World Bank to suspend this dangerous project is a crucial step towards accountability and justice. It sends a resounding message to the Tanzanian government that there are consequences for its rampant rights abuses taking place across the country to boost tourism. The days of impunity are finally coming to an end,” said Anuradha Mittal, Executive Director of the Oakland Institute.

In September 2023, the Institute released Unaccountable & Complicit, shattering the silence on the World Bank’s role in the violent conservation activities underway around RUNAPA. The report first exposed the government’s plans to evict over 20,000 people from their land in order to expand the boundaries of the park. It also documented violence and rampant cattle seizures perpetrated by Bank-funded Tanzania National Parks Authority (TANAPA) wildlife rangers, systematically carried out to force people off their land.

When first informed of these abuses and violations of its own safeguards in April 2023, the World Bank deflected blame and failed to take action. The Institute then filed a request for inspection with the Bank’s independent Inspection Panel in June 2023 on behalf of villagers in the Mbarali District. In November 2023, the World Bank Board of Executive Directors approved the Inspection Panel’s recommendation to launch an investigation focused on the actions of TANAPA rangers. The investigation is ongoing and will conclude later in 2024.

Despite the Bank’s assurances its resettlement safeguards would not be violated and the launch of the Panel’s investigation, the government brashly moved forward with eviction plans. On October 20, 2023, the government officially declared(link is external) it was modifying the boundaries of RUNAPA to now encompass at least 23 legally registered villages – forcing the eviction of over 21,000 people who did not provide their Free, Prior, and Informed Consent to the decision and have not been offered any alternative land or compensation. Thousands of additional people living in sub-villages are now considered within RUNAPA and will also be evicted as a result. Structures have already been marked for demolition and power has been cut to several villages. In December 2023, villagers filed a case in the East African Court of Justice to stop the boundary expansion as past attempts(link is external) in Tanzanian courts failed to provide justice.

The Bank has already disbursed approximately US$100 million out of the US$150 million total budget, including over US$35 million since the complaint was first filed in June 2023. In addition to allowing eviction plans to move forward, the Bank’s failure to take immediate action resulted in serious harms for the local communities. Ongoing project disbursements allowed TANAPA to continue carrying out killings and cattle seizures in recent months. On October 28, 2023, twenty-one-year-old Zengo Dotto was gunned down(link is external) by TANAPA rangers in Mwanawala village, the latest in several murders during the course of the REGROW project. During the first months of 2024, rangers illegally seized and auctioned off thousands of cattle from herders while preventing farmers from cultivating their land – devastating countless livelihoods as a result.

International media attention on the Institute’s findings, including The Guardian(link is external) and Associated Press(link is external) covered by The Washington Post, ABC News, and numerous other major outlets – put a global spotlight on the Bank’s complicity in the ongoing atrocities. In February 2024, to further escalate pressure, the Institute and Rainforest Rescue delivered a petition(link is external) with nearly 80,000 signatures to the President of the World Bank, Ajay Banga, calling on him to immediately stop funding the project.

“The Bank ignored damning evidence for an entire year that the Tanzanian government was completely disregarding its own safeguards. This should be a wakeup call for the Bank’s leadership in Washington, D.C. – you cannot continue to ignore the voices of the people on the ground who are struggling to survive as a result of your so-called “development” projects,” added Mittal.

A high-level World Bank delegation will soon travel to Tanzania. “The government’s plan to expand the park cannot go forward against the will of local communities, who will lose everything from such an expansion. In addition to preventing forced evictions, the Bank must focus on how to remedy the harms caused to the villagers who have lost loved ones to ranger violence or had their lives devastated by livelihood restrictions. Comprehensive reparations for all victims of this project are urgently required,” concluded Mittal.

Source: www.oaklandinstitute.org

PIA, SOMA:

Kule ngorongoro wao sio kuvunja haki za binadamu? Kwa nini watu wakalazimishwe kuishi wasikokupenda
 
Kwa mujibu wa taarifa iliyonukuliwa na gazeti la the Guardian inaelwza kwamba Benki ya Dunia WB Imezuia kuendelea kutoa ufadhili wa Mradi wa Regrow kufuatia madai ya ukiukwaji wa Haki za binadamu.

Taasisi ya Kimarekani ilirekodi matukio ya ukiukwaji wa Haki za binadamu unaodaiwa kufanywa na Viongozi wa Hifadhi kama kupigwa,kubakwa na kuondolewa Kwa Nguvu Kwa Wakaazi wanaozunguka Hifadhi ya Ruaha.

Awali WB ilitoa mda Kwa Serikali kutatua Changamoto hizo ila haieleweki kama zilifanyiwa kazi au kupuuzwa.

Kiasi kilichozuiwa ni Dola mil.50(Bilioni 140) za awamu ya pili ambapo tayari pesa za awamu ya kwanza Dola mil.100 zimekwisha pokelewa na Tanznaia.

Mradi wa Regrow inalenga Kuimarisha miundombinu ya Utalii Kanda ya Kusini Kwa kujenga miundombinu,na kusaidia Wananchi wanaozunguka Hifadhi.

View: https://twitter.com/TimRBDavenport/status/1782638026168111564?t=Wiy_eXiw7vefyBbnhLK1NQ&s=19

My Take
Kwamba Wazungu Wana Uchungu na Raia wa Tanznaia kuliko sisi wenyewe.Serikali ichukue hatua Kali Kwa watu wote waliokhusika kukiuka Haki za binadamu Kwa Watanzania wenzetu.

Asante sana Wazungu, maendeleo yanayolenga kuumiza jamii hayafai.Waweza soma hapa pia Benki ya Dunia Yatoa "Ultimatum" ya Siku 30 Kwa Tanzania Kumaliza Mgogoro wa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu kwenye Mradi wa Regrow
 
Asante sana Wazungu, maendeleo yanayolenga kuumiza jamii hayafai.

Si umeona nguvu iliyotumila kuwafukuza wakazi wa Ngorongoro! Wanathamini wanachopata kutoka Kwa wageni kwa kukanyaga haki za Raia.
 
Si umeona nguvu iliyotumila kuwafukuza wakazi wa Ngorongoro! Wanathamini wanachopata kutoka Kwa wageni kwa kukanyaga haki za Raia.
Wakazi wa Ngorongo hawajatendewa ubaya unless wale wabishi ambao walikuwa na ratiba zao binafsi
Screenshot_20240418-180813.jpg
.
 
Kwa mujibu wa taarifa iliyonukuliwa na gazeti la the Guardian inaelwza kwamba Benki ya Dunia WB Imezuia kuendelea kutoa ufadhili wa Mradi wa Regrow kufuatia madai ya ukiukwaji wa Haki za binadamu.

Taasisi ya Kimarekani ilirekodi matukio ya ukiukwaji wa Haki za binadamu unaodaiwa kufanywa na Viongozi wa Hifadhi kama kupigwa,kubakwa na kuondolewa Kwa Nguvu Kwa Wakaazi wanaozunguka Hifadhi ya Ruaha.

Awali WB ilitoa mda Kwa Serikali kutatua Changamoto hizo ila haieleweki kama zilifanyiwa kazi au kupuuzwa.

Kiasi kilichozuiwa ni Dola mil.50(Bilioni 140) za awamu ya pili ambapo tayari pesa za awamu ya kwanza Dola mil.100 zimekwisha pokelewa na Tanznaia.

Mradi wa Regrow inalenga Kuimarisha miundombinu ya Utalii Kanda ya Kusini Kwa kujenga miundombinu,na kusaidia Wananchi wanaozunguka Hifadhi.

View: https://twitter.com/TimRBDavenport/status/1782638026168111564?t=Wiy_eXiw7vefyBbnhLK1NQ&s=19

My Take
Kwamba Wazungu Wana Uchungu na Raia wa Tanznaia kuliko sisi wenyewe.Serikali ichukue hatua Kali Kwa watu wote waliokhusika kukiuka Haki za binadamu Kwa Watanzania wenzetu.

Asante sana Wazungu, maendeleo yanayolenga kuumiza jamii hayafai.Waweza soma hapa pia Benki ya Dunia Yatoa "Ultimatum" ya Siku 30 Kwa Tanzania Kumaliza Mgogoro wa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu kwenye Mradi wa Regrow

hela zenyewe mara nyingi zinaishia mifukoni mwa wachache tu
 
Tumia neno mabeberu 😀😀.

Kwa hiyo barabara ya iringa ruaha national park nayo inasitishwa?
 
Back
Top Bottom