Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 9,286
- 9,051
msikiti wa wayahudi, temple na sinagogi vina maana moja.Nini maana ya sinagogi?
jewish temple aka synagogue.
msikiti wa wayahudi, temple na sinagogi vina maana moja.Nini maana ya sinagogi?
Mosque ni masjid ni msikiti ila wa waislam, msikiti wa wahindi ni tempole, wayahudi na mabuda pia ni temple.Hapa unanichanganya kabisa
Mosque na Temple sio kitu kimoja la sivyo lingetumika neno moja tu kwa sehemu zote za kuabudia
Ndio maana kuna synagogue, Mosque na Temples ambapo wahindi wanatumia zaidi na wengine kama wachina nk
Ni maana 3 tofauti kabisa
Acha nikubali tu yaishe
njoo kwa kwa Yesu upate wokovu, utoke gizani.Vifungu vya kutumwa kwa ajili ya Wana waliopotea wa israel,na kile kisimacho wa nje ya hapo ni mbwa,huvitaki?
Mimi siyo muisraelnjoo kwa kwa Yesu upate wokovu, utoke gizani.
Masonic temple yaani msikiti wa mafundi tope.Hall ni ukumbi
Waisraeli wenyewe hawakumkubali Kristo [Masihi]. wapo wachache tu. Kristo alikuja kutafuta na kuokoa watu, ukiwemo wewe. Kataa wokovu kwa hasara yako!Mimi siyo muisrael
Wajenzi/waashiMasonic temple yaani msikiti wa mafundi tope.
Alikuja kwa Wana wa israelWaisraeli wenyewe hawakumkubali Kristo [Masihi]. wapo wachache tu. Kristo alikuja kutafuta na kuokoa watu, ukiwemo wewe. Kataa wokovu kwa hasara yako!
Yohana 1 (Biblia Takatifu)Alikuja kwa Wana wa israel
Mt 15:24 Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. | Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi.Yohana 1 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹¹ Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
¹² Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
¹³ waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.
acha kubisha usikichokijua! ACHA!!!!!
KANISA, Uliza tena ujibiwe mpuuzi wekule mnakoenda kufanya ibada jumapili kunaitwaje?
Hapo bado huyo mama ni mbwa na chakula si chakeMathayo 15 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²⁶ Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.
²⁷ Akasema, Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yaangukayo mezani pa bwana zao.
²⁸ Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.
mmataifa alisifiwa na Bwana Yesu kwa kuwa na Imani thabiti. Hata leo sisi mataifa tunamwemdea Yesu kwa Imani. na Tunaupokea wokovu kwa njia ya Imani. Wewe endelea kukaririshwa ujinga huko msikitini.
Si unaona ombi la huyo mama mmataifa lilijibiwa kama alivyotaka?
Hapo bado huyo mama ni mbwa na chakula si chake
[/QUOT
kwani mbwa huwa hali chakula?
Regulations za U.K. kwenye maswala ya factual reporting.
Na hakuna taasisi ambayo ipo scrutinised kwenye standard of reporting kama BBC.
BBC haiwezi andika habari ambayo awawezi itetea kamwe.
Waseme habari za kanisa la Freemason, unaelewa mkurugenzi anaweza kwenye parliament committee, na media regulators kadhaa kuthibitisha hao Freemasons wanao miliki hilo kanisa.
BBC unatakiwa kuwa trustworthy ya habari, wanachoandika hizo information ni woththy of academic research reference.
Ndio maana nina uhakika mleta mada hawezi leta hiyo source miaka 800, kwa sababu BBC haiwezi andika upuuzi huo.
Ndiyo itawafanya msiwe magaidi?pumbaavu unajua kama hata hilo neno kanisa unalolipambania limetoka kwa hao magaidi "كنيسة" {kaniysaH}. wanangu tafuteni jina lingine tu hilo waachieni Freemason au vipi
Kwahiyo kilichofunguwa ni mkusanyiko au ni jengo linalotumika kufanya mkusanyiko?KANISA NI KUSANYIKO.bbc wako sahihi
Ndio ni neno la kiarabu?We si huwa mgonjwa akili,halafu unadai ni mwanazuoni,hebu soma hapa kwenye kiarabu
Kanisa, msalaba,sulubu,masihi ni maneno ya kiarabuNdio ni neno la kiarabu?
Kijana acha uzushi na utapeli,Tena mbele ya mwanazuoni unadanganya ili upate nini?Kanisa, msalaba,sulubu,masihi ni maneno ya kiarabu