BBC wako sahihi kuita jengo la Freemason kanisa?

Kijana acha uzushi na utapeli,Tena mbele ya mwanazuoni unadanganya ili upate nini?

si kweli kwamba kanisa, msalaba, sulubu, na Masihi yote ni maneno ya Kiarabu. Hebu tuyachambue moja baada ya nyingine

1. Kanisa

Asili: Neno hili linatokana na Kigiriki ekklesia (ἐκκλησία), ambalo linamaanisha “mkutano” au “jumuiya ya watu waliokusanyika.”

Kupitia Kilatini (ecclesia) na baadaye kwa lugha za Kiafrika kama Kiswahili, likageuka kuwa “kanisa.”

Si neno la Kiarabu.

2. Msalaba

Asili: Linatokana na neno la Kiswahili lenye mzizi wa Kibantu. Ingawa Kiswahili kimeathiriwa na Kiarabu, "msalaba" halina asili ya Kiarabu bali limeundwa kulingana na mfumo wa maneno ya Kibantu (m-wa- / mi-mi-).

Si neno la Kiarabu.

3. Sulubu / Kusulubiwa

Asili: Hili lina uhusiano na Kiarabu. Neno la Kiarabu صَلَبَ (ṣalaba) linamaanisha "kumsulubisha" au "kufunga mtu kwenye msalaba."

Ndiyo, hili lina asili ya Kiarabu.

4. Masihi

Asili: Neno hili linatokana na Kiebrania Mashiach (משיח), likiwa na maana ya “aliyepakwa mafuta.” Kwa Kiarabu, linafanana na al-Masih (المسيح), jina linalotumika kwa Yesu.

Kiswahili kilikichukua kupitia Kiarabu.

Ndiyo, lina uhusiano na Kiarabu lakini asili yake ni Kiebrania.
Unakubali sulubu ni neno la kiarabu,unakataa msalaba si neno la kiarabu...una akili kweli wewe!?..
 
Kijana acha uzushi na utapeli,Tena mbele ya mwanazuoni unadanganya ili upate nini?

si kweli kwamba kanisa, msalaba, sulubu, na Masihi yote ni maneno ya Kiarabu. Hebu tuyachambue moja baada ya nyingine

1. Kanisa

Asili: Neno hili linatokana na Kigiriki ekklesia (ἐκκλησία), ambalo linamaanisha “mkutano” au “jumuiya ya watu waliokusanyika.”

Kupitia Kilatini (ecclesia) na baadaye kwa lugha za Kiafrika kama Kiswahili, likageuka kuwa “kanisa.”

Si neno la Kiarabu.
kwa haya maelezo yako na wewe unajiita mwanazuoni!!?.english - church alafu kiarabu - كنيسةkaniysaH. kilatini - ecclesia. twende sasa lugha zipi hapo zinakaribiana. inasikitisha sana kuona kijijini kwenu wanakuita mwanazuoni.
 
we jamaa hamis77 acha kutumia google translate. lugha ya kiarabu ipo very complex google translate na talkpal hazijui nahaw, balagha na hata swarf, zitakutia aibu. umeelewa mwanazuoni wa mchongo
 
Turudi kwenye mada masonic lodge ni kiingereza ambapo kiswahili chake ni Kanisa. ova
 
kwa haya maelezo yako na wewe unajiita mwanazuoni!!?.english - church alafu kiarabu - كنيسةkaniysaH. kilatini - ecclesia. twende sasa lugha zipi hapo zinakaribiana. inasikitisha sana kuona kijijini kwenu wanakuita mwanazuoni.
Kuwa na akili ,asili ya neno ni Kilatini

Kiswahili kimepokea tu kutoka kwa Muarabu

Sisi wanazuoni tunaangalia mzizi ,nyie maamuma mnaangalia mwisho hapa 👇
 
we jamaa hamis77 acha kutumia google translate. lugha ya kiarabu ipo very complex google translate na talkpal hazijui nahaw, balagha na hata swarf, zitakutia aibu. umeelewa mwanazuoni wa mchongo
Kuwa na heshima kijana Mimi nina elimu ya dini iliyo ya kina na ya kiwango cha juu, kuliko hata baadhi ya wale wanaojiita masheikh. Nimepata elimu rasmi kutoka taasisi mashuhuri duniani.

Elimu yangu ni kama ifuatavyo

Nimesoma elimu ya dini ya Kiislamu katika ngazi ya juu.

Nimesoma Lugha ya Kiarabu kwa ufasaha, ikiwa ni msingi muhimu wa kuelewa Qur'an na maandiko ya Kiislamu.

Nimesoma elimu ya Fiqh (Sheria za Kiislamu), ambayo ni msingi wa kuelewa halali na haramu katika Uislamu.

Nimesoma elimu ya majini na asili zake, pamoja na athari zake kwa binadamu, kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu.

Nimepata elimu hizi zote kupitia Chuo Kikuu cha Al-Azhar, moja ya taasisi kongwe na zenye heshima kubwa duniani katika kufundisha elimu ya Kiislamu.

Nyie mnajidili kimaamuma ,Mimi najidi kwa uelewa wa juu zaidi yenu
 
Kuwa na akili ,asili ya neno ni Kilatini

Kiswahili kimepokea tu kutoka kwa Muarabu

Sisi wanazuoni tunaangalia mzizi ,nyie maamuma mnaangalia mwisho hapa
haya twende kazi leta mzizi wa neno kanisa kutoka kaniysaH & ecclesia. mwanazuoni wetu
 
Kuwa na heshima kijana Mimi nina elimu ya dini iliyo ya kina na ya kiwango cha juu, kuliko hata baadhi ya wale wanaojiita masheikh. Nimepata elimu rasmi kutoka taasisi mashuhuri duniani.

Elimu yangu ni kama ifuatavyo

Nimesoma elimu ya dini ya Kiislamu katika ngazi ya juu.

Nimesoma Lugha ya Kiarabu kwa ufasaha, ikiwa ni msingi muhimu wa kuelewa Qur'an na maandiko ya Kiislamu.

Nimesoma elimu ya Fiqh (Sheria za Kiislamu), ambayo ni msingi wa kuelewa halali na haramu katika Uislamu.

Nimesoma elimu ya majini na asili zake, pamoja na athari zake kwa binadamu, kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu.

Nimepata elimu hizi zote kupitia Chuo Kikuu cha Al-Azhar, moja ya taasisi kongwe na zenye heshima kubwa duniani katika kufundisha elimu ya Kiislamu.

Nyie mnajidili kimaamuma ,Mimi najid kwa uelewa wa juu zaidi yenu
yan usome al-azhar alafu uje uandike shudu kama hizi ambazo hata tamhiyd au mutawaasitwa huzikuti.enhe tuambie una muhaamil upi?
 
Kujadili na kilaza ,maamuma kama wewe ni kosa la jinai
 
naona mwanazuoni unataka kukimbia. utajiabisha kwa wakristo wenzako kichaa wewe. usipende kutumia uongo ili kufanikisha ulinganizi wako. i believe bible ipo against uongo katika preaches. wewe umesoma al-azhar ya wapi? ambapo utakuwa Faqih na pia Haafidh, na mihaamil kibao wapi hamis77 wapi kaka
 
haya twende kazi leta mzizi wa neno kanisa kutoka kaniysaH & ecclesia. mwanazuoni wetu
Nikisema elimu zenu ndogo ,mnasema nawatukana

Hapo ushajiona mjanja basi

Narudia kwa faida ya wengine ,neno Ecclesia sio la kiarabu ni Kigiriki

Usije danganywa Tena ,

Neno kanisa ,wamatumbi mmelipokea tu kwa hao waarabu ,waarabu wenyewe

Wagiriki ndio waanzilishi halisi wa neno kanisa (yaani ekklēsía).
Walatini (Warumi) walilitafsiri kama ecclesia.
Waarabu walilikopa kutoka kwa Wakristo wa zamani na kulifanya kanīsa (كنيسة).
Na Waswahili waliokutana na Waarabu na Wakristo walichukua neno hilo kama kanisa.

Kwa hiyo, Wagiriki ndio chanzo halisi, si Muarabu wala Mlatini.
Muarabu alilikopa, Mlatini alilitafsiri, lakini Mugiriki (Mgiriki) ndiye muanzilishi wa neno hilo.
 
naona mwanazuoni unataka kukimbia. utajiabisha kwa wakristo wenzako kichaa wewe. usipende kutumia uongo ili kufanikisha ulinganizi wako. i believe bible ipo against uongo katika preaches. wewe umesoma al-azhar ya wapi? ambapo utakuwa Faqih na pia Haafidh, na mihaamil kibao wapi hamis77 wapi kaka
Kijana... kwanza hii ni ni‘matun ‘aẓīmah (نِعْمَةٌ عَظِيمَة) neema kubwa unayopata ya kujadili nami, mwanazuoni wa kiwango cha juu kama vile al-‘ālim al-jalīl (العَالِم الجَلِيل). Wenzio huko mitaani hawajaandikiwa fursa kama hii. Hii ni fursa adh-dhahabiyyah (الفُرْصَة الذَّهَبِيَّة) fursa ya dhahabu inayopasa kuitumia kwa fikra pevu na hoja madhubuti.

Kuwa na adabu kijana
 
yan usome al-azhar alafu uje uandike shudu kama hizi ambazo hata tamhiyd au mutawaasitwa huzikuti.enhe tuambie una muhaamil upi?
Uelewa wangu wa dini zenu ni wa ghāyah fīl-‘ilm (غاية في العلم) wa kiwango cha juu sana cha kielimu. Mimi sijaishia tu kwenye kuamini bila kufikiri, bali nimechambua, nikahakiki, na nikatathmini kwa mizani ya naẓar ‘aqlī wa burhān shar‘ī (نظر عقلي وبرهان شرعي) hoja ya kiakili na uthibitisho wa kisharia.

Wewe sasa, al-ma’mūm (المأموم) — unaoendeshwa tu nyuma ya imamu, huwezi hata kujua kilicho sahihi wala batili. Unayemezeshwa taqlīdiyan ‘amā (تقليديًا عَمًى) kwa ufuataji kipofu usio na fikra, kisha unataka kubishana na Mimi?

Sisi wanazuoni tunasema:
"al-‘ilmū nūrun, wal-jahl ẓulumāt (العِلمُ نورٌ، والجهلُ ظُلُمَاتٌ)" elimu ni nuru, na ujinga ni giza totoro.

Ninaongozwa na fikrah mustanīrah wa baḥth mustamirr (فِكْرَةٌ مُسْتَنِيرَةٌ وبَحْثٌ مُسْتَمِرّ)
 
naona mwanazuoni unataka kukimbia. utajiabisha kwa wakristo wenzako kichaa wewe. usipende kutumia uongo ili kufanikisha ulinganizi wako. i believe bible ipo against uongo katika preaches. wewe umesoma al-azhar ya wapi? ambapo utakuwa Faqih na pia Haafidh, na mihaamil kibao wapi hamis77 wapi kaka
Kijana Mimi Uislamu sijaukuta barabarani,nimezaliwa humo nimesoma madrasa Hadi chuo cha Al Azhar University hapo Cairo ,
Mimi nimeukana Uislamu fī jawfi al-masjid (في جوف المسجد) nikiwa katikati ya masheikh, lakini walipokumbana na maswali ya istibṣār (استبصار) wakashindwa, wakatoa jawābāt mu‘āmah (جوابات مُعَامَة) ,
Mimi si mfuasi wa taqlīd al-a‘mā (تقليد الأعمى). Kama uhuru wa fikra ni ukafiri, basi mimi ni kāfirun ‘ārif (كَافِرٌ عَارِف). Abū Jahl alipinga kwa nasaba, mimi napinga kwa burhān wa bayān (برهان وبيان).

Sisi wanazuoni tuna msemo wetu
"lā taqūlū ‘alā Allāh mā lā ta‘lamūn" (لا تقولوا على الله ما لا تعلمون).
 
Nikisema elim zenu ndogo ,mnasema nawatukana

Hapo ushajiona mjanja basi

Narudia kwa faida ya wengine ,neno Ecclesia sio la kiarabu ni Kigiriki

Usije danganywa Tena

Neno kanisa ,wamatumbi mmelipokea tu kwa hao waarabu ,waarabu wenyew

Wagiriki ndio waanzilishi halisi wa neno kanisa (yaani ekklēsía).
Walatini (Warumi) walilitafsiri kama ecclesia.
Waarabu walilikopa kutoka kwa Wakristo wa zamani na kulifanya kanīsa (كنيسة).
Na Waswahil walokutana na Waarabu na Wakristo walichukua neno hilo kama kanisa.

Kwa hiyo, Wagiriki ndio chanz halisi, si Muarabu wala Mlatini.
Muarabu alilikopa, Mlatin alitafsiri, lakini Mgiriki (Mgiriki) ndiye muanzilishi wa neno hilo.
mwanzilishi wa jengo kanisa ni mgiriki sijui akaliita ecclesia. muarabu akaita kaniysaH japo yeye sio mwanzilishi. mfano mwarabu anaweza asiwe mwanzilishi wa suruali ila neno suruali linatokana na lugha ya kiarabu. Case sio mwanzilish wa jengo bali asili ya neno kanisa. Ova
 
Sema Asante mwanazuoni kwa ilimu mujarabu
 
Uelewa wang wa dini zenu ni wa ghāyah fīl-‘ilm(غاية في العلم) wa kiwango cha juu sana cha kielimu. Mimi sijaishia tu kwenye kuamini bila kufikiri, bali nimechambua, nikahakiki, na nikatathmini kwa mizani ya naẓar ‘aqlī wa burhān shar‘ī (نظر عقلي وبرهان شرعي) hoja ya kiakili na uthibitisho wa kisharia.

Wewe sasa, al-ma’mūm (المأموم) — unaoendeshwa tu nyuma ya imamu, huwezi hata kujua kilicho sahihi wala batili. Unayemezeshwa taqlīdiyan ‘amā (تقليديًا عَمًى) kwa ufuataji kipofu usio na fikra, kisha unataka kubishana na Mimi?

Sisi wanazuoni tunasema:
"al-‘ilmū nūrun, wal-jahl ẓulumāt (العِلمُ نورٌ، والجهلُ ظُلُمَاتٌ)" elimu ni nuru, na ujinga ni giza totoro.

Ninaongozwa na fikrah mustanīrah wa baḥth mustamirr (فِكْرَةٌ مُسْتَنِيرَةٌ وبَحْثٌ مُسْتَمِرّ)
bado tu unaendelea kutumia google translate. andika kwa namna inayohitajika. kama hujui mimi natumia simu ya kitochi so vibox vya google translate naviona kaka. aljunuwn funuwn. laa 'ikla laka
 
Back
Top Bottom