Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Sawa sawa ----
JAMBO FORUM MEMBERS MNAZIDI KUONYESHA UNAFIKI WENU
HUTYU KAENDA KWENYE MCHEZO AMBAO MATOKEO YAKE ALIKUWA ANAFANYA VITENDO VYA KIZINAA KWENYE TV NA HAKUNA HATA MMOJA WENU ANAYEKEMEA HILI ADMIN NAYE KAONA HII NIMUHIMU ZAIDI NA KUAMAIA KUIWEKA HAPA JE MTAACHA LINI UNAFIKI NYIE WATU WA SIASA FORUMS?
Hongera Mheshimiwa Rich kwa kulitangaza jina Tanzania Vyema!!,Tutakusubiri ATL ili tuje kukupongeza zaidi.Hongera sana kwa kulitangaza jina Tanzania.Mchango wako huo ni Mkubwa na unakubalika na kila Mtanzania..
![]()
Tanzania's Richard Bezuidenhout has won Big Brother Africa II. The 24 year-old film student had a tumultuous time in the House. He fell in love, had more than a few tantrums and survived nomination five times on his road to the $100 000 prize.
Nigeria's Ofunneka Molokwu took second place, with Tatiana Durao of Angola coming in third. Ofunneka and Tatiana both win tickets to the 2010 FIFA World Cup in South Africa, courtesy of MTN.
Richard received votes from Botswana, Kenya, Namibia, South Africa, Tanzania, Uganda, Zimbabwe. Ghana, Malawi, Nigeria, Zambia and the rest of Africa voted for Ofunneka, while Tatiana received Angola's vote.
The Grand Finale
The show kicks off with KB chilling in the House with the Housemates. As they toast to the winner, Ofunneka says that she is at a loss for words at making it that far. "It's unbelievable I was able to stay locked up for three months," Tatiana adds, "I'm a party animal." Richard, for his part, says that it has really been a challenge for him. "I'm glad to be in the final three," he says.
Looking Back
"What a rollercoaster it was." The viewers are treated to a look back at some of the highlights of the last 98 days. Tasks, challenges, laugher and tears, as well as those unforgettable Penthouse visits. Big Brother has provided so many memorable moments that it would take another 98 days just to recall them all.
Blasts from the Past
After the highlights, KB welcomes the 9 evicted Housemates onto stage. They are greeted with rapturous applause by the crowd outside the House.
The Sounds of Africa
The Housemates treat the crowed to a splendid musical performance, with Code and Bertha leading the way with smooth, soulful and truly African sounds. The crowd responds by singing along with the Housemates, creating yet another magical moment on Big Brother Africa.
The musical extravaganza continues with stellar performances from South African kwaito stars Bongo Maffin and Kenyan maestro Eric Wainana. Their sounds keep the crowd rocking amidst the excitement of the show.
From the Winner's Mouth
In his post-eviction interview, Richard tells the crowd "I love you all. Whatever I do I want to change people's live positively." He then has an emotional renuion with his brother and sister before receiving the $100 000 prize.
The End
Nigerian rapping duo P-Square close out the show with a pumping performance. Big Brother Africa II has been a truly fantastic 98 days and one of the most intense competitions Africa has ever seen.
Yaaani pole pole tu chini ya uongozi wa Muungwana, na CCM tunajikongoja, japo matatizo yapo pia lakini Mungu anatunusuru na tunaweza kuwika mbele ya Dunia,
hongera mkuu Richie, maana huu ushindi ni wa bongo nzima.
jamani salama hajakosea ..ametumia uhuru wake ..hamjaona kule angola kwa tatiana wawili wameongea kumsapoti rich..na kule nigeria pia wawili wakahojiwa wakamkubali rich...kenya na uganda waliomkubali rich ni kama wawili wengi wakimkubali tatiana...let speak our hearts open..na wala sio haki kumnyanyapaa salama kwa kuongea feelings zake...kama rich angepigiwa kura na wa tz pekee asingeshinda...so tusiwalaumu wa tz ambao hawakumpa kura...
jamani salama hajakosea ..ametumia uhuru wake ..hamjaona kule angola kwa tatiana wawili wameongea kumsapoti rich..na kule nigeria pia wawili wakahojiwa wakamkubali rich...kenya na uganda waliomkubali rich ni kama wawili wengi wakimkubali tatiana...let speak our hearts open..na wala sio haki kumnyanyapaa salama kwa kuongea feelings zake...kama rich angepigiwa kura na wa tz pekee asingeshinda...so tusiwalaumu wa tz ambao hawakumpa kura...
I agree with you. Asionekane msaliti. Hiyo hasa ndiyo falsafa ya uhuru wa mawazo, tutoke kwenye ukomunisti ambapo mtu hawezi kufikiria yeye mwenyewe ila kufuata wengine wanasemaje.
Mkuu,Mkuu Kitila,
hapa hakuna anyebusga kuwa mtu asitoe maoni yake...hoja ni kuwa hata kama unatoa maoni, basi inategemewa utakuwa na busara za kujua athari za yale maoni yako....wakati huo huo, hapa pia tunatia maoni yetu kuwa Salama alivomponda sivyo na ushahidi ndo huo jamaa kashinda...ni uhuru pia sio?
I agree with you. Asionekane msaliti. Hiyo hasa ndiyo falsafa ya uhuru wa mawazo, tutoke kwenye ukomunisti ambapo mtu hawezi kufikiria yeye mwenyewe ila kufuata wengine wanasemaje.
ila sikubaliani na sipendezewi na yafuatayo:
-Michezo ile inayo endelea ndani ya jumba lile kuanikwa wazi wazi mbele ya jamii wa rika tofauti! mfano sikupendezewa zile picha walivo anikwa uchi uchi
Kaka/Dada Rwabugiri,
Richard hakuwa na option inapofikia suala la kuoga. Camera zilikuwa kila sehemu. Alitakiwa aishi maisha ya YEYE kama YEYE. Wa kulaumiwa hapo ni waandaaji kwa kuwaanika washiriki nyakati za kuoga. Kwa waliokuwa wanaangalia 24hrs wanaweza kukiri kuwa hata washiriki walikuwa hawapendezwi kuchukuliwa picha nyakati za kuoga ama kubadilisha mavazi.
Mchezo mgumu sana ule mkuu
Je kama Salama angeenda then akawa anafanyiwa na Mnigeria. na Leo akawa wapili au 3 ingekuwaje?
Big brother ni ujinga mtupu. Nimeiona huku ulaya....underclass ndio mashabiki wakuu. Sasa pia kuna Idol. Sijui hii nayo imeshaingia Afrika?
Any way, hongera Richard kwa kupata dola laki nzima. Natumai zitasaidia kuboresha maisha yako.