BBA 2: Mtanzania ashinda!

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,858
Hii haikustahili kuwa hapa lakini kabla matokeo ya Big Brother Africa ambapo Mtanzania mwenzetu Richard amefanikiwa kuingia Fainali nadhani tujaribu kutoa mawazo kabla matokeo rasmi hayajatolewa.

Only 10minutes left. We've:

1. Richard - Tanzania

2. Ofuneka - Nigeria

3. Tatiana - Namibia...

Who's going to win the $100,000/- prize?

Bet!
 
Mshikaji atachukua tu japo sijaona show yao lakini naona anapewa flag sana.

CMB yuko wapi atupatie live pics.....au Invs uwe unaturushia masnepu
 
Richard atakuwa kama Mwisho Mwampamba?

Amebakia na Ofuneka wa Nigeria.

Tumwombee ufanisi!
 
Mshikaji atachukua tu japo sijaona show yao lakini naona anapewa flag sana.

CMB yuko wapi atupatie live pics.....au Invs uwe unaturushia masnepu

Mzee Mtu,

Kuna kitu tutafanya kuweka mambo sawa hapa. Ni suala la muda.

Richard anaonekana kuwa na nyota nzuri katika Jumba hili japo inasemekana mkewe kishamtema baada ya kumwona akifanya madude na Tatiana.

All the Best Richard
 
Richard anaonekana kuwa na nyota nzuri katika Jumba hili japo inasemekana mkewe kishamtema baada ya kumwona akifanya madude na Tatiana.
Poa mkuu,huyo mtasha atamrudia tu...unacheza na mnyamwezi 100,000mkuu
 
Poa mkuu,huyo mtasha atamrudia tu...unacheza na mnyamwezi 100,000mkuu

uyo mtasha wanamponda kwanza amemzidi umri ana 29 wakati ricchi ana 24, wanasema alifanya 'makosa' kumwoa in the first place...na akishinda wengine wanadaia itabidi agawane na tatiana manake ndo kamfikisha hapo alipo

updates>>>
 
sasa je INVISIBLE utavumilia tukianza kuweka ma faili ya Richard na dada yake humu au tupeleke kule kwa wakubwa?

maana huyo sister wake mafaili yake yapo na ni mazuri tuuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom