BBA 2: Mtanzania ashinda!

Ebanaeeeeee Cheeerz!

Hahahaha!

Redio zote Tanzania zinarindima. Watanzania wamefurahi sana kwa taarifa nilizotumiwa na Jamaa wa Clouds.

This made my day!

Congrats Richard, Congrats Tanzanians
 
Mzungu lazima atoke manitoba aje Dsm....$laki 1 zitampagawisha

Ebwana briefcase lenye ngawira limefunguliwa na $100,000 ndani yake! Dah, nyingi mkuu.

U-miss tunachemsha mara nyingi lakini sasa mambo si mabaya walau kwenye Big Brother tumeshinda.

Richard aliahidi akishinda hela hizo atagawana na Tatiana
 
sasa subirini kuona JK atakavyo mparamia huyo Richie

Hahaha,

Wengi hata waliomponda watamkubali tu. Anashindwa hata kuongea masikini!

Redio Clouds na Multi-Choice wamepanga kumpa bonge la mapokezi. Tutajaribu kuwasiliana na kina Lunyungu watupe mapokezi yalikuwaje.
 
wakuu ndo baadhi ya 'maadui' wa Richard wanavosema sasa..especially from west africa...hiyo nimeitoa hapa http://www.mnet.co.za/profiles/bba/ForumListing.aspx?bid=10&tid=11442

NakuliliaTanzania,

Kumbuka: Mfamaji...?

Huu ni mchezo kama michezo mingine. Kwa ambaye hakujua unachezwaje anaweza akalaumu lakini the way ulivyotambulishwa tangu awali ulieleweka kabisa na mwenye kutaka kutoona washiriki wakioga walikuwa wanampa namna ya ku-scramble channel husika.

Nigeria katika walioulizwa maswali juu ya nani atashinda ni mmoja tu alomuunga mkono raia mwenzao. Watanzania WOTE waliohojiwa wameonesha kuridhika nae.

Ni mmoja katika Tanzania ambaye ni Salama wa Channel 5 alimponda LIVE kwenye mahojiano ya awali. Hivi angeenda yeye ingekuwaje???
 
Kudos... ! angalau jina la Tanzania limetangaza pasipo kutumia shilingi bilioni mbili..!!

Yeah, wengi wameifahamu Tanzania kupitia kijana huyu. Kwanza walikuwa wanamshangaa kuona the way anavyoongea na bado walikuwa na kumbukumbu ya Mwisho Mwampamba kuchukua nafasi ya pili miaka miwili iliyopita
 
NakuliliaTanzania,

Kumbuka: Mfamaji...?

Huu ni mchezo kama michezo mingine. Kwa ambaye hakujua unachezwaje anaweza akalaumu lakini the way ulivyotambulishwa tangu awali ulieleweka kabisa na mwenye kutaka kutoona washiriki wakioga walikuwa wanampa namna ya ku-scramble channel husika.

Nigeria katika walioulizwa maswali juu ya nani atashinda ni mmoja tu alomuunga mkono raia mwenzao. Watanzania WOTE waliohojiwa wameonesha kuridhika nae.

Ni mmoja katika Tanzania ambaye ni Salama wa Channel 5 alimponda LIVE kwenye mahojiano ya awali. Hivi angeenda yeye ingekuwaje???

Tema mate chini, Mungu apishie mbali!
 
Hongera Mheshimiwa Rich kwa kulitangaza jina Tanzania Vyema!!,Tutakusubiri ATL ili tuje kukupongeza zaidi.Hongera sana kwa kulitangaza jina Tanzania.Mchango wako huo ni Mkubwa na unakubalika na kila Mtanzania..
 
Tema mate chini, Mungu apishie mbali!

Hahaha!

Yani umenifanya nicheke. Salama was unfair kusema kweli. Mtanzania unaongea kwenye vyombo vya kimataifa unamponda mtanzania mwenzio kisa alishinda nafasi hiyo ukaikosa? Binafsi nilichukulia Salama hana utu. That was unfair. Hata watu walio SA walishangaa kwa comments za Salama. Superstar wa Bongo!
 
Yaaani pole pole tu chini ya uongozi wa Muungwana, na CCM tunajikongoja, japo matatizo yapo pia lakini Mungu anatunusuru na tunaweza kuwika mbele ya Dunia,

hongera mkuu Richie, maana huu ushindi ni wa bongo nzima.
 
Back
Top Bottom