Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,225
Kip it up rich.Na wale mafisadi walioitangaza Tanzania hadi ikajadiliwa kwenye house of commons kuhusu ununuzi wa rada?
Na hao mawaziri na wabunge watakaoenda kumpokea Huyu jamaaa nao watakua mashabiki wa uzinzi?
Watampokea Rich kishujaa,je watoto wakiuliza ni shujaa wa nini hao mawaziri watakaporudi home watawaeleza ukweli?
Maadam amenyanyua Bendera yetu akatutangaza basi hatuna budi kumpongeza