chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 12,067
- 35,010
Asante tanzania eti wko busy kushindana na tanzania 😂😂😂
Sasa ni wapi duniani unakuta pilau buku, kuna wakenya walisema kilimo ni ushamba na ni in kazi ya kijima, wakasema sisi tulime wao watakuwa wanakuja kununua tu, matokeo yake imepelekea mpaka serikali kukopa mikopo WB ili kugharamia upungufu wa chakula, tofauti na Tanzania ambapo chakula tunajitosheleza kwa zaidi ya 100% hata kikipanda faida ni kwa Tanzania.
Kingine zaidi ya ugali kunyaland hawana chakula kingine chochote wakati Tanzania tuna zaidi ya 5 staples foods