Apa point yako ni ipi bruhKuna watu humu bado wana imani US yuko mbele ya China kimuonekano wa nchi, China wacha kabisa, yn wapo dunia yao japo US pia ni habari nyingine.
Your dar port to mombasa port ni worlds apart i tell you
Yaani port pia ni unplanned settlement!!!!
Isaka - TaboraNi kama vile atahudhuria uwekaji wa jiwe la msingi lot 4 Isaka-Makutupora..
Mchina anakimbiza kazi hana utani
Uko ndio capital ya njaa na kiuLodwar, TurkanaView attachment 2394320
Maisha yao ni ku fake fake tu, sasa wanaonesha barabara ili waongopee watu kwamba lodwar pako vzr wanasahau kwamba tunawajua mpk nguo zao za ndani. Nani asiyejua kwamba Lodwar ndiyo eneo maskini zaidi duniani.Uko ndio capital ya njaa na kiu
Maisha yao ni ku fake fake tu, sasa wanaonesha barabara ili waongopee watu kwamba lodwar pako vzr wanasahau kwamba tunawajua mpk nguo zao za ndani. Nani asiyejua kwamba Lodwar ndiyo eneo maskini zaidi duniani.




Asante tanzania eti wko busy kushindana na tanzania 😂😂😂
Hili suala la kudhibiti mfumuko wa bei japo vitu vimepanda especially vifaa vya ujenzi, na nafaka kama mchele na maharage credit ziende kwa Serikali Kwakweli,Ila humu Jamvini watu wako kimya sana Ni unafiki tu kwa kwenda mbeleSasa ni wapi duniani unakuta pilau buku, kuna wakenya walisema kilimo ni ushamba na ni in kazi ya kijima, wakasema sisi tulime wao watakuwa wanakuja kununua tu, matokeo yake imepelekea mpaka serikali kukopa mikopo WB ili kugharamia upungufu wa chakula, tofauti na Tanzania ambapo chakula tunajitosheleza kwa zaidi ya 100% hata kikipanda faida ni kwa Tanzania.
Kingine zaidi ya ugali kunyaland hawana chakula kingine chochote wakati Tanzania tuna zaidi ya 5 staples foods