joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Katiba mpya Kenya imewajibishaje viongozi?, Unasikia uongozi mpya unavyolalamikia madudu yaliyofanywa na uongozi wa Uhuru Kenyatta, he katiba mpya haikuwepo?Watu wanataka katiba mpya kila mtu awajibishwe Ye akifanya ujinga anamuwajibisha? Na hawataki kuibadili kabisa


