Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Kasheshe ilianzia 1975 kwenye oil embargo, halafu tukaja pigwa na ukame, mwishowe vita. Hata Kenya nao walikuwa hoi miaka hiyo, Moi kama Nyerere wote walifanyiwa majaribio ya kupinduliwa.Ila huyu anaongea bila kujua Tanzania ilikuwa inatoka kwenye vita ya Kagera na Uganda!