Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

2022
5E375587-65E8-4DB7-9945-2AECEC99288C.jpeg
5E375587-65E8-4DB7-9945-2AECEC99288C.jpeg

5D363F17-9695-4A6E-85C1-9BA864ECF9AE.jpeg
 
Danganyika chini ya CCM hakuna freedom ya kusema mawazo yako.

You cannot express yourself freely in Danganyika bila kukamatwa na kuwekwa ndani na CCM. Failed state. View attachment 2394850
Mawazo yake ni kutukana watu? Kuna sababu gani ya kutukana kiongozi ??😂 au na nyinyi ndio wale wale haki za binaadamu alaf kesho munashangilia wanaume kua mashoga kujazana mitaani
 
Nimekwambia niletee mahakama kwenye Mikoa niliyotaja wewe unaleta stand na majengo ya utawala ambayo yanajengwa kila mwaka na Serikali,hata sasa majengo mapya kibao yanajengwa zikiwemo stand..

Niletee mahakama kama zile uluzosema ziko.kila Mkoa ,mimi nataka Uniletee Njombe ,Songwe na Rukwa tuu..

Mwisho uachage ujinga basi,Hii ni Agreement Hotel sio Ofisi ya Nssf Njombe 👇
We umbwaaaaaa unataka Njombe ipewe kila kitu
 
Back
Top Bottom