Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fellow Kenyans
As you can see,tumechoka kuargue na hizi nongwe. Wacha kila mtu ajipe form
 
Attachments

  • IMG_0943.jpg
    IMG_0943.jpg
    421.6 KB · Views: 9
Hii Battle imefungua watu macho ni nani anafanya miradi yenye tija. Wakati wengine wakipanga na kufanya miradi ya kimkakati taratibu taratibu, wengine wako busy wakifanya miradi ya kukurupuka kwa ajili ya kujionesha. Mwisho wake ndio huu, watu wanakimbia uzi kabla hata hatujamaliza
Tuliwaambia
 
Huyu tukimpa nchi atawawajibisha sn wazembe, ofcz akichukua huyu nchi ile kasi ya JPM atleast itarejea, ni mwanafunzi mtiifu wa Magu huyu.
Watu wanataka katiba mpya kila mtu awajibishwe Ye akifanya ujinga anamuwajibisha? Na hawataki kuibadili kabisa
 
Yaani port pia ni unplanned settlement!!!!
Poooor
Hapo ni sehemu majahazi na meli local za mizigo kwenda Zanzibar,Comoro na Mauritus zinatia nanga.

Pako local maana pia operations zake zipo locally.stretches ya bandari inaanzia Hapo RoRo. Ukina hivyo ndio ujue biashara imekubali. Kuna muda panakuwa safi kabisa.

Kwa Ukubwa wa bandari na mpiga picha alikuwa jengo lenye mitaa zaidi ya 100 bado hakufanikiwa kupata footage za container terminal.

KENPAULITE
 
Among Projects Muhumu Kwa Tz ni Hizi..ukiweza kuwa na resreve kubwa ya Chakula , Mafuta ya Petrol, Dizel , Na Energy kiujumla..unaweza sana kupambna na infalation na vitu kama famine..vikitokea..

My suggestion is tufike hata 1 miilion tonnes by 2025 ya capacity ya food reserves ..

Na uwezo wa ku store mafuta uwe wa 6 months and above from 2 months sasa hivi
 
Hapo ni sehemu majahazi na meli local za mizigo kwenda Zanzibar,Comoro na Mauritus zinatia nanga.

Pako local maana pia operations zake zipo locally.stretches ya bandari inaanzia Hapo RoRo. Ukina hivyo ndio ujue biashara imekubali. Kuna muda panakuwa safi kabisa.

Kwa Ukubwa wa bandari na mpiga picha alikuwa jengo lenye mitaa zaidi ya 100 bado hakufanikiwa kupata footage za container terminal.

KENPAULITE
Uko sure dar port ni kubwa kushinda mombasa infrastructure wise?
 
Danganyika chini ya CCM hakuna freedom ya kusema mawazo yako.

You cannot express yourself freely in Danganyika bila kukamatwa na kuwekwa ndani na CCM. Failed state.
Screenshot_20221022-162303.jpg
 
Back
Top Bottom