dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
Dodoma, Tanzania
Imperative thinking (programming) huwa inafundishwa kwenye Advanced applied math II (kinadharia).Mkuu mi nakumbuka wakati advance tunasoma complex numbers na probability ambazo tulianza soma toka o'level labda ile advance wakatifundisha basic ya programming labda web development au java au mambo ya graphics design au basic ya networking maana kwenye physics advance kunakuaga na electronics inguka an networking kidogo . Ni kitu ambacho ukitoka shule uwaweza apply kwenye maisha na mambo yakaendelea . Sio kuchora panzi
Na zile chopa zinazoangukaga kila mwezi Kenya tuzite flying graveair tanzania aka wings of kilimanjaro are only flying coffins. hamuna ubunifu kwenye hii fani, kwenyu hii ni jambo geni sana. tuulize sisi watu wenye uzoefu katika hii sector. tuna tesa hadi anga ya juu
Kuna mkenya alikua ababisha eti route ya Moro dar haiwezi kua na gari nyingi kiasi hicho. Alikua komora096 na nadhani . Dar Moro kuna abiria wengi huwezi aminiIla huyu mwamba atapata tabu Sanaa sgr ikianza kupiga kazii
Mkuu we ndio mtalaamu wa uchumi na hio suggestion yako . Pamoja na ukinzani wote uliokuwepo viongozi wa Tanzania hawawezi kuwaacha mkipata matatizo hata mtanzania wa kawaida hawezi kua jealous kiasi chako. Mkuu nyi mna GDP kubwa mnaogopa nini tena?Huu uhusiano mwema kati ya Kenya na Tanzania naona unaleta madhara mabaya katika uchumi wa Kenya. Hata afadhali ile enzi ya Magufuli ambapo tulikuwa tunapigana vita vikali kila siku. Saa hii wakulima wenu wanauza vyakula Kenya, ndege yenu inakuja Kenya kuuwa ndege yetu. Hapana, haiwezekani. Afadhali turudi kwa kupigana tu. Naomba uhuru alianzishe dude, afunge mipaka tena.
MY TAKE
Wakunya wameanza visa!
Si huwa mnasema Gdp yetu ni ya makaratasi sasa mbona unasema Gdp yetu ni kubwa?Mkuu we ndio mtalaamu wa uchumi na hio suggestion yako . Pamoja na ukinzani wote uliokuwepo viongozi wa Tanzania hawawezi kuwaacha mkipata matatizo hata mtanzania wa kawaida hawezi kua jealous kiasi chako. Mkuu nyi mna GDP kubwa mnaogopa nini tena?
Tatizo ni kuwa agriculture sector yenu ni kubwa na inazidi kuwa kubwa so tukiwaachia tu mlete vyakula vyenu huku jinsi mnavyotaka mnaweza kuumaliza kabisa agriculture sector yetu. Nyie huwa mnasahau kwamba Kenya sisi pia tuna wakulima wetu na lazima tuwalinde. Tunastahili kuimport surplus food pekee. Yaani pale ambapo wakulima wetu wameshindwa kuzalisha sasa ndio tunastahili kuimport ili kuziba hilo mwanya. Lakini tukifungua mipaka wazi eti kila Mtanzania anayetaka kuleta hata gunia mbili za mahindi analeta tu basi wakulima wetu wadogo wadogo wataumia sana. Tukiwa na upungufu wa mahindi ndio tunastahili kununua kutoka kwenu. Kuna misimu za kuvuna mahindi hapa Kenya na wakati huo wakulima wa Kenya wanastahili kupata soko bila tatizo. Ila kuna misimu ambapo Kenya huwa hatuna mahindi kabisa so hapo ndio mnastahili kujazana na kuleta mizigo huku.Mkuu we ndio mtalaamu wa uchumi na hio suggestion yako . Pamoja na ukinzani wote uliokuwepo viongozi wa Tanzania hawawezi kuwaacha mkipata matatizo hata mtanzania wa kawaida hawezi kua jealous kiasi chako. Mkuu nyi mna GDP kubwa mnaogopa nini tena?
Kusema ukweli watanzania wako spoiled sana na usafiri wa umma, wananata na kuringa sana kuchagua nini wapande. Amini usiamini, mabasi ya bongo ni mazuri sana kuliko hata mabasi ya kibeberu ya Greyhound.Nakumbuka a while back, nilikuwa na route sana za Uganda kwa basi.
Unakuta unaondoka Dar na basi Akamba, zuri kabisa, kitu AC safi. Mkifika Nairobi mna badilishiwa basi na kupewa basi la Akamba bovu yaani, vioo vina piga kelele hatari.
Ukiuliza, wana kwambia barabara za Kenya na Uganda mbaya, na pia wakipeleka basi baya Tz hato panda mtu
Ndiyo chakula kinachosogeza (sukuma) wiki.By the way nilikuwa cjui kama sukuma wiki ndio mboga pendwa kule Kenya, lkn Wakenya walikaa kimya wasiseme kama huwa wanategemea sukuma wiki
Nini pilots sisi mpaka tunawahandisi wanaosanifu (design) hizo ndege.Pilots mtatowa wapi nyie malazy au mnadhani kutrain pilots ni kama kutrain watu wa kuosha choo? Kutrain pilots kunachukua miaka kadhaa na ni gharama kubwa ajabu.
Uhuru hana jeuri ya kufanya hivyo sasa, yeye alikuwa ni remoti tuu, waliokuwa wakimtuma sasa hivi tuko nao dam dam.Huu uhusiano mwema kati ya Kenya na Tanzania naona unaleta madhara mabaya katika uchumi wa Kenya. Hata afadhali ile enzi ya Magufuli ambapo tulikuwa tunapigana vita vikali kila siku. Saa hii wakulima wenu wanauza vyakula Kenya, ndege yenu inakuja Kenya kuuwa ndege yetu. Hapana, haiwezekani. Afadhali turudi kwa kupigana tu. Naomba uhuru alianzishe dude, afunge mipaka tena.
...wengine bado mioyo mizito kidgo...ngoja tujipe mdaaaMimi mbn cna shida na mtu mkuu
Usumbufu wanao fanya ukiambiwa North korea uchumi wao umezidiwa au uko sawa na Uganda..daah Afrika bado kuna road ndefNorthern Korea ndo wana GDP ndogo kuliko Kenya
Huku Tz watu hawabebi pesa siku hizi mambo ni e commerce tuu.Kubeba pesa kwenye gunia sio wallet
Uchumi na biashara unaendeshwa na market forces wala sio protectionism hayo ni mambo ya kizamani na yanarudisha nyuma EA integration.Tatizo ni kuwa agriculture sector yenu ni kubwa na inazidi kuwa kubwa so tukiwaachia tu mlete vyakula vyenu huku jinsi mnavyotaka mnaweza kuumaliza kabisa agriculture sector yetu. Nyie huwa mnasahau kwamba Kenya sisi pia tuna wakulima wetu na lazima tuwalinde. Tunastahili kuimport surplus food pekee. Yaani pale ambapo wakulima wetu wameshindwa kuzalisha sasa ndio tunastahili kuimport ili kuziba hilo mwanya. Lakini tukifungua mipaka wazi eti kila Mtanzania anayetaka kuleta hata gunia mbili za mahindi analeta tu basi wakulima wetu wadogo wadogo wataumia sana. Tukiwa na upungufu wa mahindi ndio tunastahili kununua kutoka kwenu. Kuna misimu za kuvuna mahindi hapa Kenya na wakati huo wakulima wa Kenya wanastahili kupata soko bila tatizo. Ila kuna misimu ambapo Kenya huwa hatuna mahindi kabisa so hapo ndio mnastahili kujazana na kuleta mizigo huku.
kwani kajenga nani?constructive criticism haikubaliki humu ndani kikisemwa kitu watu hurukia 'chuki'! Aisee sasa kusema burial place ya Magufuli haina creativity imekaaa ugly na nimetoa comparison kwa other mausoleum walizozikwa viongozi inahusiana vp na chuki!?
Ndio hicho kanifurahisha lkn co kwamba eti ndo nishaamini, weeee!! bado mkuu...wengine bado mioyo mizito kidgo...ngoja tujipe mdaaa
...nimependa uwazi alio fany kwenye hela za uviku