Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dodoma, Tanzania
denver_skyline.avacustomrendition.767.0.png
 
Mkuu mi nakumbuka wakati advance tunasoma complex numbers na probability ambazo tulianza soma toka o'level labda ile advance wakatifundisha basic ya programming labda web development au java au mambo ya graphics design au basic ya networking maana kwenye physics advance kunakuaga na electronics inguka an networking kidogo . Ni kitu ambacho ukitoka shule uwaweza apply kwenye maisha na mambo yakaendelea . Sio kuchora panzi
Imperative thinking (programming) huwa inafundishwa kwenye Advanced applied math II (kinadharia).

Unakumbuka kwenye kutengeneza complex proposition (truth table)? Tulifundishwa algorithms pamoja na if statements zake wakati wa kuchora flow diagrams.

Ila inabidi wafundishe programming yenyewe maana wanawachelewesha vijana, kujiandaa na dunia ya 4th industrial revolution.
 
Huu uhusiano mwema kati ya Kenya na Tanzania naona unaleta madhara mabaya katika uchumi wa Kenya. Hata afadhali ile enzi ya Magufuli ambapo tulikuwa tunapigana vita vikali kila siku. Saa hii wakulima wenu wanauza vyakula Kenya, ndege yenu inakuja Kenya kuuwa ndege yetu. Hapana, haiwezekani. Afadhali turudi kwa kupigana tu. Naomba uhuru alianzishe dude, afunge mipaka tena.
Mkuu we ndio mtalaamu wa uchumi na hio suggestion yako . Pamoja na ukinzani wote uliokuwepo viongozi wa Tanzania hawawezi kuwaacha mkipata matatizo hata mtanzania wa kawaida hawezi kua jealous kiasi chako. Mkuu nyi mna GDP kubwa mnaogopa nini tena?
 
Si huwa mnasema Gdp yetu ni ya makaratasi sasa mbona unasema Gdp yetu ni kubwa?
 
Mkuu we ndio mtalaamu wa uchumi na hio suggestion yako . Pamoja na ukinzani wote uliokuwepo viongozi wa Tanzania hawawezi kuwaacha mkipata matatizo hata mtanzania wa kawaida hawezi kua jealous kiasi chako. Mkuu nyi mna GDP kubwa mnaogopa nini tena?
Tatizo ni kuwa agriculture sector yenu ni kubwa na inazidi kuwa kubwa so tukiwaachia tu mlete vyakula vyenu huku jinsi mnavyotaka mnaweza kuumaliza kabisa agriculture sector yetu. Nyie huwa mnasahau kwamba Kenya sisi pia tuna wakulima wetu na lazima tuwalinde. Tunastahili kuimport surplus food pekee. Yaani pale ambapo wakulima wetu wameshindwa kuzalisha sasa ndio tunastahili kuimport ili kuziba hilo mwanya. Lakini tukifungua mipaka wazi eti kila Mtanzania anayetaka kuleta hata gunia mbili za mahindi analeta tu basi wakulima wetu wadogo wadogo wataumia sana. Tukiwa na upungufu wa mahindi ndio tunastahili kununua kutoka kwenu. Kuna misimu za kuvuna mahindi hapa Kenya na wakati huo wakulima wa Kenya wanastahili kupata soko bila tatizo. Ila kuna misimu ambapo Kenya huwa hatuna mahindi kabisa so hapo ndio mnastahili kujazana na kuleta mizigo huku.
 
Nakumbuka a while back, nilikuwa na route sana za Uganda kwa basi.

Unakuta unaondoka Dar na basi Akamba, zuri kabisa, kitu AC safi. Mkifika Nairobi mna badilishiwa basi na kupewa basi la Akamba bovu yaani, vioo vina piga kelele hatari.

Ukiuliza, wana kwambia barabara za Kenya na Uganda mbaya, na pia wakipeleka basi baya Tz hato panda mtu
Kusema ukweli watanzania wako spoiled sana na usafiri wa umma, wananata na kuringa sana kuchagua nini wapande. Amini usiamini, mabasi ya bongo ni mazuri sana kuliko hata mabasi ya kibeberu ya Greyhound.
 
Pilots mtatowa wapi nyie malazy au mnadhani kutrain pilots ni kama kutrain watu wa kuosha choo? Kutrain pilots kunachukua miaka kadhaa na ni gharama kubwa ajabu.
Nini pilots sisi mpaka tunawahandisi wanaosanifu (design) hizo ndege.
Huu uhusiano mwema kati ya Kenya na Tanzania naona unaleta madhara mabaya katika uchumi wa Kenya. Hata afadhali ile enzi ya Magufuli ambapo tulikuwa tunapigana vita vikali kila siku. Saa hii wakulima wenu wanauza vyakula Kenya, ndege yenu inakuja Kenya kuuwa ndege yetu. Hapana, haiwezekani. Afadhali turudi kwa kupigana tu. Naomba uhuru alianzishe dude, afunge mipaka tena.
Uhuru hana jeuri ya kufanya hivyo sasa, yeye alikuwa ni remoti tuu, waliokuwa wakimtuma sasa hivi tuko nao dam dam.
 
Tatizo ni kuwa agriculture sector yenu ni kubwa na inazidi kuwa kubwa so tukiwaachia tu mlete vyakula vyenu huku jinsi mnavyotaka mnaweza kuumaliza kabisa agriculture sector yetu. Nyie huwa mnasahau kwamba Kenya sisi pia tuna wakulima wetu na lazima tuwalinde. Tunastahili kuimport surplus food pekee. Yaani pale ambapo wakulima wetu wameshindwa kuzalisha sasa ndio tunastahili kuimport ili kuziba hilo mwanya. Lakini tukifungua mipaka wazi eti kila Mtanzania anayetaka kuleta hata gunia mbili za mahindi analeta tu basi wakulima wetu wadogo wadogo wataumia sana. Tukiwa na upungufu wa mahindi ndio tunastahili kununua kutoka kwenu. Kuna misimu za kuvuna mahindi hapa Kenya na wakati huo wakulima wa Kenya wanastahili kupata soko bila tatizo. Ila kuna misimu ambapo Kenya huwa hatuna mahindi kabisa so hapo ndio mnastahili kujazana na kuleta mizigo huku.
Uchumi na biashara unaendeshwa na market forces wala sio protectionism hayo ni mambo ya kizamani na yanarudisha nyuma EA integration.
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom