Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Utawezana na HIMA Empire.
Mnawaua watoto wa Nyerere mnadhani mtakuwa salama.

 
wewe unafikiria Manispaa ya Kinondoni haijui hilo? Ila wanafanya makusudi ili wasingizie hawawezi kupatunza! Wapate sababu ya kupabinafsisha! Yatatokea makundi kupigia debe Manji apewe kwa kisingizio cha uwekezaji we ngoja!
na mm najua itakua hivyo sasa bora tumuombe hata daimond na wanamuziki wetu wajitolee kuitunza koko beach
 
On a waislam wanavyopambania chanjo. Mpaka akina Dewij wanataka waikweke Tanzania mfukoni. Hatukubali. Msione tumekaa kimya mkadhani sisi ni wajinga.

Wakristo tupo pamoja.

sometime waislam wanakuwa wapumbaavu sana . cheki mkwele alivyokuwa anauza nchi
 
battle ya kupambana ugonjwa wa covid19! Nishakukanya jana uachane na post za kuelimisha husikii! Wewe kama huamini ugonjwa wa corona baki hivyo! Sijui upotoshaji upo wapi kwenye post zangu? Mimi naelismisha humu pia! anzisha thread yako halafu useme hivyo!














Waacheni mambo ya kupangiana cha kufanya kama mtu aridhiki na mwingine simnacha tu kutag ana..
 
Wakenya ni wezi, mmeweka picha ya Kijazi interchange ili iweje?
Screenshot_2021-07-26-17-53-04.jpg
 
Kwanini usiende kuchanjwa pekee yako!? Sisi tuache na MATAGA na Sukuma Gang yetu.
Unamtukana Magufuli. Mtu amekufa bado unamsimanga. Vita ni vita mura ndio cheche zimeanza. Hatutaki kutawaliwa na Wazanzibar.

Mmemuua Magufuli halafu mnakuja kutukejeli.
evidence nimetukana mtu? endelea kujishaua! ila usini-quote kwenye upumbavu wa kujitungia!
 
Wewe ndio umeyataka haya. Nilikuambia sasa hivi unaanza kuhaha. Unadhani hatuwajui mnacho kifanya. Mlileta Kimeta ikulu mkamuua John Kijazi, mkamuua Magufuli, mkawaua wasaidizi wa Magufuli. Mkamuua Mkapa. Mnataka viongozi wenyenguvu wakristo muwamalize. Shame on you.
Kumbe mshikaji mdini namna hii? aisee hii sumu unayotema humu inaonyesha ulivyo zero brain!
 
Back
Top Bottom