Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha kupost vitu zenye hujui chochote eti ili uwe relevant. Unajua hata ni kwanini hao police wa sare hizo za colonial era walikuepo kwenye sherehe za juzi.? Au unapost tu.?
Your army is poor, just like you.
 
Unaona mtu kabisa anaongea nadharia zake badala ya historia yakinifu.
Huyo jamaa ni sawa na baba levo anavyoongelea siasa wapi na wapi!?
Yet mnajaza humu tweet zinazoongelea vitu mnavyokubaliana navyo. Huwa mmesahau ni nadharia zao?
 
Aisee!?
Vitu navyokubaliana navyo sio nadharia tu butu bali ni fikra yakinifu.
Sio fikra bro, wewe hukubaliana wakati vitu vinavyoongelewa vinapokuwa vitu unavyopenda kusikia.😂😂 Kwa Ile lugha huwashinda vinaitwa Confirmation Bias. The only reason haukubaliani na huyo jamaa ni kuwa amesema Kiswahili kimeanzia Kenya. So far huna facts zozote zinazoproove alichosema kuwa uongo.
 
Facts nilizieleza na ukitaka nizirudie nitazirudia.
1)Kiswahili kilianza kutumika Kilwa na East Africa Kilwa ni mji wa kwanza kukua kuliko Lamu ama Mombasa.
2)Liringa/Iringa kuna script za lugha ya kiswahili kwa herufi za kiarabu kabla na baada ya Chief Mkwawa halkadhalika Tabora na Tanga.

Tanganyika inaanza kuongea kiswahili kabla hata ya hiyo Lamu ama Mombasa kutanuka.
Ustaarabu wa kiswahili umeanzia Kilwa na viunga vya kusini mwa Tanganyika na mwambao wa bahari kabla hata ya huko Lamu.

Wewe kaa ubishe na umsikilize huyo jamaa anayeongea nadharia zake butu.Tanganyika ndio yenye lahaja nyingi za lugha ya Kiswahili kwasababu imeanzia huku.
 
Back
Top Bottom