Tafuta cha kufanya na uache kupotosha! Lile swala liliisha na nishalisahau unless ilikuuma kuku-expose na ukaweka kinyongo! polee! Ukweli hubaki ukweli, kama unaringishia Dar then ringishia kwa fairplay na si kwa "Fallacy", kiufupi huwezi ukachukua Mlima Kilimanjaro ukadai upo Dar! Ni hilo tu...! Kumbuka wewe ni mmojawapo wa waliokuwa wakimcheka
Teargas na picha yake ya minoti ya kuokoteza! yaani hata saahii ukidanganya nakufyatua tu and don't take it personal, yani unachukua hoteli za Zanzibar na Bagamoyo na kudai ziko Dar that can't be accepted,
"SORRY", Mkenya akidai Mlima Kilimanjaro upo Kenya unapiga kelele humu mwezi mzima!
😉 🙏