Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Habari zenu Kenya huaga zinatuacha kinywa wazi 🙂
Umeona bullet train za tz🙂?
Don't twist this thing ni**r. We are your big brothers so you must check what's happening here. While you follow every little detail of Kenyan news on Kenyan news channels, wengine wetu hata hatujui majina za news channels zenu
 
Screenshot_20210717-165911.jpg
 
Don't twist this thing ni**r. We are your big brothers so you must check what's happening here. While you follow every little detail of Kenyan news on Kenyan news channels, wengine wetu hata hatujui majina za news channels zenu
Hapo ume fail mtihani wabongo hatunaga mda na nyinyi🙂polee Sana
Nyie ndo mmejaa kwenye blog na page za wabongo mkifatilia habar za the great Tanzania.
Ndo maana bongo musiq inatawala huko🙂
 
Hapo ume fail mtihani wabongo hatunaga mda na nyinyipolee Sana
Nyie ndo mmejaa kwenye blog na page za wabongo mkifatilia habar za the great Tanzania.
Ndo maana bongo musiq inatawala huko
Ndiyo maana kila kukicha wanafurika kwenye platform za Tz, ifikapo 2030 90% ya Wakenya watakuwa humu Jf, ndio maana huwa nafurahi sana tukiwapa kichapo humu ili waka hadithie wenzao
 
Unajua kuna kitu kama mme notice nikwamba kale kamgomo baridi walikokafanya wakunya mwaka jana baada ya kuzindua ubungo interchange kamerudi tena, now kamerudi baada ya habari za EMU, msiwaone wanajitutumua humu ila ukweli ni kwamba hizi bullet zimewachanganya sn jamaa, ukitaka kuamini ona wanacoment lkn ikitupiwa habari ya EMU wanapotea, jamaa wana wivu wa kike sanaa
 
Ni wapi umeona milimani city? SGR yenu ikianza kutumika leta mjadala. Hatuwezi kujadili kitu bado iko under construction ambayo haijasafirisha kitu, hata mende bado. Productivity ndo muhimu, hata Ethiopia wakona electric lakini our revenue numbers ziko juu zaidi compared to their fancy electric railway. Yenu ikianza kazi mtajoin mjadala tupime numbers.

At least you uttered something. Maana tulijawa na wasi.
 
Eti Kenya ishindane na Tz mtaweza wapi!! Yani Wakenya mnatumia nguvu nyingi since Uhuru na wazungu walisaidia kujenga baadhi ya vimradi lkn Tz miaka yote hiyo inasaidia nchi jirani kupata Uhuru, now after few years Tz imeanza kujenga uchumi ghafla imeanza kustua dunia View attachment 1857171View attachment 1857172View attachment 1857173View attachment 1857174View attachment 1857175View attachment 1857176View attachment 1857177View attachment 1857178View attachment 1857180
hamjawai kuacha hadithi za wazungu walijenga kenya 😂😂😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂🤣 it's always funny it never gets old😂😂😂 at least you find something to console your lazy a$$
 
Hapo ume fail mtihani wabongo hatunaga mda na nyinyi🙂polee Sana
Nyie ndo mmejaa kwenye blog na page za wabongo mkifatilia habar za the great Tanzania.
Ndo maana bongo musiq inatawala huko🙂
Hamna mda na sisi kivipi wakati mwenzako kaleta habari ya tukio nchini Kenya tena by a Kenyan news channel hadi wewe mwenyewe ukacomment kuhusu habari yenyewe? How did you know about that story and how comes you follow it on a Kenyan news channel?
 
Back
Top Bottom