Oyaa wa TZ... ma kaka blazzzas..tazameni hapo juu.... .Bado mnapo ngoja hiyo reli yenu itakayo Isha sijui 2050...sisi wakati huu tuko kwenye harakati za kumalizia barabara za juu Kwa juu....Njooni kenya mshoot ma video za mziki zenu...si mnaimbanga vizuri tena aisee..
Angalia kijiji cha naipori-slums-everywhere kilivyo kikubwa 🤣🤣🤣Ukikojoa ukiwa Lumumba street inafika hadi kisutu, ukigeuka unakojoa Kariakoo. 😂😂😂 Hii Dar ni ndogo sana.
Hizo chache sana Mbona?Mturuki hatari bana![]()
![]()
Yani kawapiga jamaa vibaya, treni ikipata breakdown hakuna flow itaendelea kabisa..
Dar mkionyesha kitu km hiki natoka jf, bado mtazindua sanaView attachment 1857435View attachment 1857438
SadistBullet train iko Morocco pekee in Africa., 300km/hr., hiyo takataka yenu ni a mere SGR powered by electricity, with speed difference ya 20km na ya Kenya 40km ikizidi, which haifiki hiyo full speed at any particular time., Average maximum itakua just 100-120km/hr., Another "slow" train as the Chinese call them in China., and cheap. I doubt it will manage freight., Aibu kama ya Ethiopia loading, hiyo itakua ni ya dala dala tu😂
MTU atakunyima chakula lakin sio habari 🙂Hamna mda na sisi kivipi wakati mwenzako kaleta habari ya tukio nchini Kenya tena by a Kenyan news channel hadi wewe mwenyewe ukacomment kuhusu habari yenyewe? How did you know about that story and how comes you follow it on a Kenyan news channel?
Kweli kama ufisadi na rushwa mko vizuri 🙂Sawa babaa..hatujakataa kimziki tunawaheshimu..lakini mambo mengine yote mnatuheshimu....makofii
Kuna mtu alishawahi kuandika humu kuwa mizigo mingi ya bandari ya mombasa inaishia kenyamjue nn.. ishu nyingine kuhusu SGR.. sisi hatutatumii hela nyingine kununua diesel kutoka nje kuendeshea trains mana zetu ni za umeme..tutatumia umeme wetu, lkn majiran wanatumia extra money kununua diesel... nashangaa sana tunaendelea kuargue na hawa watu kuhusu SGR


Mbona mademu wenu Sura zinakua zimekomaa Sana🙄