THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,210
Mkuu turefushe tu uchumi wetu miji hii itabadilika mpk utashangaa!!!!.Mifano iko mingi sana.... Popote kwny amani upendo, ndoto za kuona mabadiliko makubwa kbs katika nchi yetu, kuweka mipango thabiti kuitekeleza kwa ushuhuda wa matokeo. Amiiiin!!!!!!.siyo majengo y Dar utafikiri ya kufugia kuku toka singida,mfano lile jogoo house magomeni kwenye majkao makuu ya TLP