President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,767
- 89,792
Mfano Nairobi ingekuwa na mito mingi kama Dar maisha ya kibera dweller yangekuwaje leo?
📌📌📌🔨 Kundustan mnaumia sana Kwa nini lakini? 😁😁Kistation kidogo eti ndio kipo Capital City. Minor Stations like Ngong, Athi River, Suswa, Emali are same size as this.
Hili eneo idle walisema inajengwa ile arena ya Dar, anasubiriwa nani sijui!Seven eleven+Samia housing scheme inaenda kubadlisha kabisa mandhari ya kawe
View attachment 2977931View attachment 2977932View attachment 2977934
Kwa jinsi wakenya mlivyo na akili mbovu usije kushangaa mkataka haya matakataka mnayojenga yatumike afcon 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣The one at Kitale is really huge. Bigger than Afraha. Another one is being done in Siaya. A good one as well
View attachment 2978008
That’s a stadium coming up in Bonguma. There’s only one stadium that can compete with it in Tanzania, that’s Makwapa stadium.Hii ni uchafu gani???😂😂😂😂😂😂
Unalia ukiwa Yemen ama Tanzania?😂😂Hakuna kitu kinaokena hapa mzee Kwanza jengeni alaf panua Hilo domo kama mwiko wa mama kibonge 😂😂😂😂😂😂😂
Unataka hii ndio itumike AFCON?😂😂Kwa jinsi wakenya mlivyo na akili mbovu usije kushangaa mkataka haya matakataka mnayojenga yatumike afcon 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hiyo ni CAFU Apuruved buanaa. Huoni? 🤣 🤣 🤣
Kwanini usijiite kakibera au kamathare?
Nimeona lile eneo la kawe upende wa feza girls kuna uzio wa mabati mkubwa umewekwa, sijui wanataka kujenga nini.Hili eneo idle walisema inajengwa ile arena ya Dar, anasubiriwa nani sijui!
Hebu kueni serious kidogo😂😂😂😂That’s a stadium coming up in Bonguma. There’s only one stadium that can compete with it in Tanzania, that’s Makwapa stadium.