Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wametuzidi tribalism, njaa, slums maana wana slums kila kona
Waambie wakupe hivi vitu, usisumbuke nao,

Electric Train
Brt Transport
Boat transport
New and modern international Airport
New, Big and Modern Football Stadium
New and modern Bus stations
Halafu waseme wametuzidi nini cha ajabu Nairobi
 
Afadhali sisi tunafurahia maendeleo na uwekezaji. Juilize mbona haya majumba makubwa hayakujengwa Dar?
Nyie Tz on the other hand huwa mnafurahia vifo ,njaa na kuchinja albinos.
We kaa tu hapo kibera huku wachina na wazungu waki-dominate nairobi
 
Dar ipo juu na itabaki kuwa juu hata kama wewe hutaki. Na neno lako sio sheria. Hapo Dar huishi peke yako huna cha kutuambia.
Huyu mtu niwakumpuuza tu,Kwanza sikuwahi kujua Kama baadhi ya wakenya wanaishi maisha ya dhiki vile kupitia thread hii nimejua korokoncho,huruma,mathare,kibera aisee huwezi linganisha mwananyamala,tandale na kwingineko na maisha ya hizo slum Ni zaidi ya huruma.
 
dream houses, huko masaki, mikocheni , mbezi sinza kuna vinyesi "fresh" kwenye mitaro, huko posta na kariakoo mavi yanatiririka mitaroni, watu wanakanyaga kabisa , its shame
Eti vinyeshi fresh! 😂 😂 😂 😂
Mbavu zangu zauma. Na huku ndani Wanashinda wakileta picha za kibera kila kuchao. Yani hadi pale posta CBD mtindo ni hii huo!? Nilisoma mahali kwamba hapo cbd kuna baadhi ya maeneo hajakuwa connected to sewer line.
 
Waambie wakupe hivi vitu, usisumbuke nao,

Electric Train
Brt Transport
Boat transport
New and modern international Airport
New, Big and Modern Football Stadium
New and modern Bus stations
Halafu waseme wametuzidi nini cha ajabu Nairobi
1. Electric train iko wapi? Is it operational?
Brt transport - that's the only thing unaweza Niambia Dar inazidia Nairobi but we all know inaenda uswazini

2. Boat Transport - Nairobi is a landlocked city. Where do you expect those boats to operate? "Use your head"

3. New and modern international airport - Where does your airport rank in Africa in terms of traffic?JKIA is ranked forth best airport in Africa. JNIA is not even in the top 15.
4. Football stadium. How is your football stadium bigger than Kasarani when they have the same sitting capacity?

5. Bus stations. Hapo kidogo mmetuzidi

Now tell me which areas does Dar score high than Nairobi?

1. The economy of Nairobi is two times bigger than that of Dar

2. Nairobi has more middle class than Dar.

3. Nairobi is the financial and transport hub if the region

4. Nairobi hosts many international companies than the whole of Tanzania probably

5. Nairobi is the leading FDI destination in East Africa and the fifth in Africa

I can go on and on and on.... Mambo yote nuhimu Nairobi inashinda Dar. Kelele muwache
 
Punda anamjua punda mwenzake
Unafanananisha kibera na mwananyamala ni akili au matope.
Acha umangulo, nani anachukia serikali na nchi, watu wanachukia matendo na sera mbaya,msitafute pahala pa kufichia ukurutu wenu, hakuna wa kuhama, nyie ndio mtapelekwa ICC NA THE HAGUE, punda wewe
 
Do you know the meaning of truth and chuki?
I can bring you the link ujisomee mwenyewe ukitaka. only 10% of Dar is connected to the sewer line. Sehemu zingine zote ni "freestyle". Hiyo ripoti inasema kwamba hata baadhi ya maeneo kule CBD hazijakuwa connected to a central sewer system. A good number of your big hotels pia zinawachilia tu raw sewage ndani ya ocean. It's a sad state of affair. So what this guy is saying ni ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom