Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

siyo majengo y Dar utafikiri ya kufugia kuku toka singida,mfano lile jogoo house magomeni kwenye majkao makuu ya TLP
Mkuu turefushe tu uchumi wetu miji hii itabadilika mpk utashangaa!!!!.Mifano iko mingi sana.... Popote kwny amani upendo, ndoto za kuona mabadiliko makubwa kbs katika nchi yetu, kuweka mipango thabiti kuitekeleza kwa ushuhuda wa matokeo. Amiiiin!!!!!!.
 
Tupush hii curve iende juu tuachane na uoga wa kushift along the curve!!!! Wachumi watanisoma!!! Lol
 
Mkuu turefushe tu uchumi wetu miji hii itabadilika mpk utashangaa!!!!.Mifano iko mingi sana.... Popote kwny amani upendo, ndoto za kuona mabadiliko makubwa kbs katika nchi yetu, kuweka mipango thabiti kuitekeleza kwa ushuhuda wa matokeo. Amiiiin!!!!!!.
Uchumi kwa raisi yupi?
uchumi wa kuwapa wageni miradi mikubwa na kuwalipa kwa fedha za kigeni
 
siyo majengo y Dar utafikiri ya kufugia kuku toka singida,mfano lile jogoo house magomeni kwenye majkao makuu ya TLP
Duh! Sikutarajia hili. Iweje tena na wenzako wanasema Dar watu huishi kwenye "dream houses"? Kumbe ni vibanda vya kuku tu!
 
Fruits of devolution
Interior counties like Tharaka nithi can afford to build decent markets now......
But for our county we have a cow for governor
70807155_1149324545277344_793015713492107264_o.jpeg
 
Duh! Sikutarajia hili. Iweje tena na wenzako wanasema Dar watu huishi kwenye "dream houses"? Kumbe ni vibanda vya kuku tu!
dream houses, huko masaki, mikocheni , mbezi sinza kuna vinyesi "fresh" kwenye mitaro, huko posta na kariakoo mavi yanatiririka mitaroni, watu wanakanyaga kabisa , its shame
 
Yaani watu wa CHADEMA nyie kazi yenu ni kuponda kila kitu cha Tanzania sijui ndio siasa ya wapi hio.
baada ya kujisaidia kachambe, wewe nani kakwambia mimi ni CHADEMA, tanzania tuna vyama 19 na vyote vina wafuasi, kama chadema si tishio, imekufa, haipo mbona kila mtu akizungumza neno tofauti na "mungu" mnasema ni CHADEMA?
hata wewe sijui ni nyumbu wa ccm ama cuf,
 
Kwa sababu unaichukia serikali ndio eti uongee uwongo kiasi hichi au kuna watu unawafaidisha
wewe upo wapi muraa, nahisi unakaa ushetu, Dar inanuka kinyesi, ukipit salender bridge kama ni mgeni lazma utapike,
uswahilini kama mwanayamala, mikocheni a, maeneo ya clouds, makao makuuya jkt kuingia msasani club kuna mitaro ya kinyesi fresh naingia baharini , watu wanatapisha chemba zao , ndio maana tunampenda MAGUFULI KWA KUPELEKA SERIKALI DODOMA.
 
Dar ipo juu na itabaki kuwa juu hata kama wewe hutaki. Na neno lako sio sheria. Hapo Dar huishi peke yako huna cha kutuambia.
baada ya kujisaidia kachambe, wewe nani kakwambia mimi ni CHADEMA, tanzania tuna vyama 19 na vyote vina wafuasi, kama chadema si tishio, imekufa, haipo mbona kila mtu akizungumza neno tofauti na "mungu" mnasema ni CHADEMA?
hata wewe sijui ni nyumbu wa ccm ama cuf,
 
Mjinga pekee kama wewe ndio unaweza ukafafanisha mwananyamala na kibera

Back
Top Bottom