Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Afadhali sisi tunafurahia maendeleo na uwekezaji. Juilize mbona haya majumba makubwa hayakujengwa Dar?

Nyie Tz on the other hand huwa mnafurahia vifo ,njaa na kuchinja albinos.
Mbona unabishana na vilaza? What they don't understand is that foreign companies investing in Kenya and putting up such structures is a sign of investor confidence in Kenya which has ripple effect on the economy. At the end of the day, watarudi hapa with that old and boring narrative of "uchumi wa kupikwa" while the gap gets even bigger and bigger. Let sleeping dogs lie
 
Afadhali sisi tunafurahia maendeleo na uwekezaji. Juilize mbona haya majumba makubwa hayakujengwa Dar?

.

Avic have many projects in TZ too. Kuna Project pale Oysterbay ni ya zamani hata kabla tupo shule za awali.

1. AVIC APARTMENTS -OYSTERBAY

IMG_2682.JPG

IMG_2686.JPG

IMG_2684.JPG

2. AVIC APARTMENTS - SEA VIEW.

IMG_2687.JPG

IMG_2688.JPG

3. AVIC TOWN - AMANI BEACH

EB450ECF-6873-4035-BEB0-02B1C17B4178-1033-0000009D985883FD.jpg

AD3D24AA-0689-4014-B598-3BF8A235EAA2-1033-0000009DC8522785.jpg

IMG_2685.JPG

4. SKY TOWER- KIJITONYAMA

f7ce6f8f91b3e9c4e4a8609feb03c3c6.jpg

683c46a79a6612977fffa9c07e7106b8.jpg

d335c9947209aa20284d4c7c95aad948.jpg
 
Attachments

  • IMG_2688.JPG
    IMG_2688.JPG
    38.8 KB · Views: 16
Very interesting narrative, I trust M7 will react swiftly and clean the swamp:)
 
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
TANZANIA KUNA MULT BILIONEA MMOJA TU AMBAYE AMEFARIKI JUZI, REGINALD MENGI.
WENGINE WAGANGA NJA TU.
mengi ana makampuni 26 ya kuchimba madini, kwa siku anaingiza bilioni moja kama faida
Ripoti ya @AfrAsiaBank imelitaja Jiji la Dar es Salaam katika nafasi ya 12 kwa utajiri barani Afrika, likiwa na utajiri wa TZS 55.2 trilioni. Jiji la Nairobi limeshika nafasi ya 6 (TZS 112.6tril) huku Kampala likiwa la 14 (TZS 36.8tril). Isome ripoti hapa: https://t.co/8BGY7gPoDM https://t.co/T3RE5Ulawd
()
 
Tanzania ina multi billionaire mmoja ? Unaota wewe
 
Avic have many projects in TZ too. Kuna Project pale Oysterbay ni ya zamani hata kabla tupo shule za awali.

1. AVIC APARTMENTS -OYSTERBAY

View attachment 1212628

View attachment 1212627

View attachment 1212629

2. AVIC APARTMENTS - SEA VIEW.

View attachment 1212630

View attachment 1212632

3. AVIC TOWN - AMANI BEACH

View attachment 1212634

View attachment 1212635

View attachment 1212636

4. SKY TOWER- KIJITONYAMA

f7ce6f8f91b3e9c4e4a8609feb03c3c6.jpg

683c46a79a6612977fffa9c07e7106b8.jpg

d335c9947209aa20284d4c7c95aad948.jpg
Kwa hivyo hizi zenu sio za mchina? GTC ndio ya mchina!
 
TANZANIA KUNA MULT BILIONEA MMOJA TU AMBAYE AMEFARIKI JUZI, REGINALD MENGI.
WENGINE WAGANGA NJA TU.
mengi ana makampuni 26 ya kuchimba madini, kwa siku anaingiza bilioni moja kama faida
Ripoti ya @AfrAsiaBank imelitaja Jiji la Dar es Salaam katika nafasi ya 12 kwa utajiri barani Afrika, likiwa na utajiri wa TZS 55.2 trilioni. Jiji la Nairobi limeshika nafasi ya 6 (TZS 112.6tril) huku Kampala likiwa la 14 (TZS 36.8tril). Isome ripoti hapa: https://t.co/8BGY7gPoDM https://t.co/T3RE5Ulawd
()

Yani Nairobi inashinda Dar zaidi ya mara mbili lakini ile kelele inapigwa hapa ndani!
 
Back
Top Bottom