tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Mnatuzidi urban forestry hapo nawapa 5Ours is not a three tower city
View attachment 1212382
Mnatuzidi urban forestry hapo nawapa 5Ours is not a three tower city
View attachment 1212382
That's why it's called the green city in the sunMnatuzidi urban forestry hapo nawapa 5
Mturuki uhakika ni 2020 kazi nyingi badokumekucha!!!!!!! DSM to Moro August SGR construction progress
Jammaanii hawa air hostess watam hviii km kachumberiii!!!!!
kaamua aonyeshe pete makusudi ili kutupunguza kasi.Jammaanii hawa air hostess watam hviii km kachumberiii!!!!!
Ngojea siku nivamie Air Tz namimi jaman maana hat mandhar inashawishi.


Kwa mpigo!
View attachment 1212381
mabahalia huwa hatuelewagi hata akituonyesha picha zake za harusikaamua aonyeshe pete makusudi ili kutupunguza kasi.
![]()



Watu tumeingia vyumba vimeandikwa "staffs only" tuogope nn kingine??!!!!mabahalia huwa hatuelewagi hata akituonyesha picha zake za harusi![]()
Jammaanii hawa air hostess watam hviii km kachumberiii!!!!!
Ngojea siku nivamie Air Tz namimi jaman maana hat mandhar inashawishi.
Hapa kazi tu....👇👇👇
Mkuu hii pic sijaelewa mbona hii ni km vile electric train inapita juu ya cape gauge railway?????Huu ndio uzuri wa nchi kuwa na reli aina tofauti tofauti tofauti (cape, stanadard na meter gauge)
Afrika ya kusini wana vipande vya reli vyenye nyaya za umeme, hata treni yao ya utalii Rovos inayokuja Dar huwa inatumia vichwa vya umeme maeneo fulani huko kwao.Mkuu hii pic sijaelewa mbona hii ni km vile electric train inapita juu ya cape gauge railway?????
View attachment 1212571
Afadhali sisi tunafurahia maendeleo na uwekezaji. Juilize mbona haya majumba makubwa hayakujengwa Dar?Watu wako proud na mchina house!!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣