Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa mumepigwa[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunataka kilio chenu wakenya kuhusu maendeleo ya tz kiende hadi Asia na ulaya nao waanze kulia maana hizo treni hata wao awana tunazo nunua wakija bongo lazima waseme wa tz ndiyo watu weusi pekee Africa wenye akili

Send by APOLO 1
 
Hapo manaake tuombe Jpm atuachie katiba itakayombana raisi ajaye, co hii inayompa madaraka ya kuamua anachotaka
Na zaidi ya hapo technical issues waachiwe wataalamu tunaweza sana kujiendesha usifikiri jpm ndio anafanya kila kitu tunafanya wenyewe yeye anaimani kua tunaweza na tunafanya kweli na ndio maana tukilegalega anawaka unless otherwise mbona angelala tu usingizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 




MY TAKE
While Kunyaland restrict movement at Namanga, Uganda has done the same to Kunyaland at Malaba and Busia borders
 
37FFD1DF-68CC-4E31-97D5-D45CD7127EE8.jpeg
 
Back
Top Bottom