Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu jamaa usikurupuke naye mwanzo kwa sababu ana hulka ya kuibuka na ushindi mwishoni hiki kitu hata wapinzani hawajikielewa wanakuwa wepesi kumuattack mwanzo badala ya kusubiri kwanza.
Jamaa alichukua form ya urais hakuwa hata na uhakika wa 10% kwamba atakuja kuwa raisi, majina yalikuwa membe na lowassa. Nyota yake inayong'aa mwishoni ilianza kufanya kazi hapa, hata January Makamba alikuwa na nafasi kubwa kushinda Magu lakini kilichotokea anajua Mungu tu.
Hii ni kweli kabisa, huwa si wa kubezwa kirahisi. Wapinzani wanahitaji kujipa muda wa kutafakari kabla kumuattack katika kila jambo analolisimamia. Wapinzani wamekuwa wakurupukaji muno mwishowe wananchi wameanza kuwaona ni wapuuzi.

Lakini wengine tulikuwa tunamuombea sana achukue form kwenye uchaguzi wa 2015. Nakumbuka mzee wangu alikuwa anapenda kuniuliza ni mtu gani ni sahihi kwa nafasi ya Urais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano kabla ya 2015 mara zote nilikuwa namjibu ni Magufuli. Alikuwa ananishangaa sana, alikuwa anasema huyo ni mzuri sana lakini hawezi maana hana pesa na hana mtandao. Nilikuwa namwambia ya Mungu ni mengi lakini alewa ni huyo huyo.

Kwa upande wa Zanzibar nilikuwa namwambia ni pa gumu mno na uchaguzi utaharibika. Na kweli baada ya uchaguzi Magufuli alikuwa Rais na Zanzibar uchaguzi uliharibika. Mzee wangu mpaka leo hii huwa hanielewielewi. Kwa mfumo wa kabila letu huwa anasema nilifaa kuwa mganga wa kienyeji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha ulifaa kuwa mganga nimecheka sana.
Ila tuzidi kumuomba Mungu angalau akiondoka tupate atakaye fanya kama yeye.
 
IMG_8068.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
faida ya capitalism ni hii wachache wenye akili na madaraka wanapiga pesa za umma mara mbili mbili alaf majority munabaki kupika mawe watu wamepiga 8.1b ksh alaf wameomba tena mara ya pili same amount wapige tena

Huku upande wa pili watoto wanakula mafi hku wakijiaminishia wana chakula

Naona hapo pa kuoana hukupapenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maana nyinyi hamuishii kuona majengo ya investors wanakuja wanashika uchumi munabakia kupika mpaka mawe

investor anachukua ardhi ya rutuba anapanda maua anauza kwao nyinyi munabaki kuhangaika na njaa kila mwaka
Raha ya media hzo
Mama sai katusua nynyi wale waliokula mavi mliwapa nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom