Muda wa kujitathmini WaTz ndio huu, ukweli ni kwamba hakuna kiongozi wa kufanya haya baada ya Jiwe kwa miaka mingi ijayo, binafsi cjamchagua JPM 2015 niwe mkweli na hapa Mwenyezi ananiona cjamchagua kabisa kutokana na yaliyokuwa yanaendelea nchi hii kipindi kile cha JK, lkn miaka miwili tu ilitosha kumuelewa JPM, ckuwa na imani naye na hata kampeni zake ckuwa nasikiliza kabisa yn nilichoshwa na uongozi uliopita, nakumbuka speech ya JPM aliyoitoa bungeni kwa kiasi fulani ilianza kubadili fikra zangu juu yake na kiukweli speech ile ckutaka hata kuisikiliza, lkn ilinikuta ktk mazingira ambayo ilikuwa lazima niisikilize so tng pale nikampa muda, basi tng hapo hajawahi kuniangusha mpk hii leo, maana kuna baadhi ya mambo akawa km anayetaka kuniboa ila mwishowe nakuja kugundua alikuwa right, ss ombi langu kwa WaTz ni kwamba watu km hawa hawapatikani mara zote hasa kwa nchi zilizojaa viongozi walafi km za Afrika, ni wakati wa kujitathmini na kuchukua hatua mapema, wenzetu China waliliona hili na wakafanya maamuzi magumu, tusijichanganye eti kisa katiba ambayo tunaoamua iweje ni sisi wenyewe, tusiiogope katiba tukaja kujutia kwa miaka mingi ijayo, km mtu ameshajipambanua ni wa aina gani basi tumpe muda mpk tutakapoona inatosha aje mwingine, na co miaka 10 cz haitoshi, ww angalia miaka 5 tu kafanya mambo yaliyoshindwa kufanywa kwa miaka karibia 50 iliyopita, so nchi ni yetu, katiba ni yetu, tufanye uamuzi.