komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Duh!!hawa jamaa naona mturuki kawadandia kwa mbele, yani hawaoni kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!!hawa jamaa naona mturuki kawadandia kwa mbele, yani hawaoni kabisa

Yamekua hayoDon't worry we have money
Send by APOLO 1


Hahaaa!!Hizi nyumba za upande wa Ubungo Maji natamani mtu aje anunue ili eneo na kujenga towers ama mall maana zimekaa hovyo!
![]()
[/QUOTE]Wewe hesabu za algebra zilikua zinakupiga sana chenga.
King cobra ametanguliza ulimi kabisa asipotee njia:
View attachment 1451034
Waekeeni mazingira mazuri wawekezaji basi, kwn unafikiria watu hawana uwezo..Ninaamini mtu atatokea kuwanunua ili kujenga aidha ofisi ama mall! Sehemu ina potential!
oya hvi yule Nicxie yuko wapi?? inamaana toka mlipo mnyonyoa vinyoleo vya kwenye kende hajaonekana tena![]()



Watanzania huwa tunawaza vitu vikubwa na vya maendeleo mpaka raha Viva TanzaniaMzee mahesabu mazito hayo si rahisi hivyo miradi ya Mchina hiyo! nadhani to be more practical $150 mln inaweza kutupatia wagon ferries zisizopungua 7! Na uzuri wa wagon ferries hazi-limit destination to a particular shore kama daraja! Unaweza kutokea Kigoma ama Kasanga port ama sehemu yeyote yenye bandari Lake Tanganyika na kufikisha mzigo kwa urahisi bandari yeyote DRC Kalemi, Bujumbura port au hata Mpulungu port huko Zambia! Kumbuka wagon ferries zinaweza kubeba malori pia!

Kijamaa wakati tunawalisha?Waekeeni mazingira mazuri wawekezaji basi, kwn unafikiria watu hawana uwezo..
Ni vile jamaa akifikiria sana kuhusu mambo ya kijamaa anapuuzilia mbali tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii co Tz ya 90'sWatanzania huwa tunawaza vitu vikubwa na vya maendeleo mpaka raha Viva Tanzania![]()

Ila daraja kuvuka Lake Tanganyika si level yetu! Level ya Mchina hiyo! 😀😀Watanzania huwa tunawaza vitu vikubwa na vya maendeleo mpaka raha Viva Tanzania![]()
Ila daraja kuvuka Lake Tanganyika si level yetu! Level ya Mchina hiyo! 😀😀
Labda kama DRC Congo watakuwa na Macau au Hong Kong na Kigoma iwe Schenzen!Iyo inabidi iwe mipango ya baadae
Hakuna linaloshindikana broo ni kujipanga tu na ku think big, Afrika tumeshathibitisha kuwa tunaweza, km wao wanaweza japo %kubwa ya mali wanazitoa huku itakuwaje cc wenye maliIla daraja kuvuka Lake Tanganyika si level yetu! Level ya Mchina hiyo! 😀😀
Kila kitu kinawezekana ni suala la kuthubutu japo itatuchukua muda mrefu kutokana na uchumi wetu. SGR ikifika Kigoma tunaweza kutengeneza meli kubwa ya mizigo ambayo itakuwa inabeba container za kutosha kama njia ya mpito wakati tukijipanga kwa kushirikiana na DRC kujenga daraja kama itaonekana ni economically feasible huko baadae. DRC ni market kubwa sana kwenye sekta ya usafirishaji wa mizigo kwa nchi yetu kuliko hivi vinchi vidogo tunavyoviongelea sana.Hakuna linaloshindikana broo ni kujipanga tu na ku think big, Afrika tumeshathibitisha kuwa tunaweza, km wao wanaweza japo %kubwa ya mali wanazitoa huku itakuwaje cc wenye mali
unataka mambo ya kibepari au ??? usikazmishe tufanane haiwezekani ndio maana hushangai ukabila haushi kenyaWaekeeni mazingira mazuri wawekezaji basi, kwn unafikiria watu hawana uwezo..
Ni vile jamaa akifikiria sana kuhusu mambo ya kijamaa anapuuzilia mbali tu
Sent using Jamii Forums mobile app
malizeni ukabila kwanza tuone raha ya ubepari😂😂😂
Na hapa tunawafanyaje? Tunawachamba?