Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Atakua sio mzima huyu afanye research kuwazungumzia watanzania vibaya YouTube harafu ataona mabeberu watakachokoment
Zunguka Afrika nzima uliza mtz ni nani utaambiwa, watanzania wanaheshimika Afrika nzima kwa utu, unyenyekevu, uungwana, upendo na kujali, ss hizo lawama zako cjui unazitoa wapi, eti WaTz wana roho mby af Wakenya ndiyo watu safi damn!! hata ww mwenyewe unajishangaa unavyoongea utumbo humu, upendo wa watanzania ni wa enzi na enzi hamuwezi kuupata hata iweje, na ndiyo maana huku hatuna civil wars km nyie, leo nmecheka sn eti mkenya ana roho nzuri kuliko mtz dunia simama nishuke, yn mnachukiana wenyewe kwa wenyewe af ndo muwapende wageni...smh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The best 00qpost: 35215085 said:
U shud have said that it was just a condolences.
Donates., my point was on food wakati janga la ukame linakua kali., Tanzania yenye misifa eti wako na chakula hawawezi 'donate' Kenya, we buy, I was merely showing your incapability na ubinafsi., ni domo domo tu.
 
QUOTE="babayao255, post: 35215445, member: 545870"]
Endelea kutumia story za vijiweni kubishana humu...utaendelea kubadilisha mada tu 😂😂😂
Hakuna kubadili mada, hampendi ukweli., yani hamtaki aibu kabisaa lakini hali iko vile ilivyo, maoni yanyu haitobadilisha😂😂😂😂, weka mada ingine humu nichangie.,
[/QUOTE]
 
Mwanza hamna mall ingine??

Tazama vitu viko nakuru
FB_IMG_15882601377213303.jpg
FB_IMG_15884997092235096.jpg
FB_IMG_15884995850392942.jpg
FB_IMG_15884993037598519.jpg
FB_IMG_15884994465182296.jpg
FB_IMG_15884993152516885.jpg
FB_IMG_15884994685493683.jpg
FB_IMG_15884993850517312.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo huduma ziko wapi? , unadhani sitazami taarifa kutoka kwenyu., mko ovyo corona imewafumania., hali ya raiya wengi ni duni, sie tunawepeupe ndio inaonekana vile,njoo uishi Kenya uone ui

Yenyu ni ya kinafiki, wenyewe kwa wenyewe mnachimbana, kwa nje unacheka na mwenzako akiondoka ni udaku tupu., umbeya ndio yenyu.,
Enjoy your sunday kaka. Mnapenda mjadala sana
Hapa hutoki dadadeki msikilize raisi wa EAC
A remarks of hope

 
Donates., my point was on food wakati janga la ukame linakua kali., Tanzania yenye misifa eti wako na chakula hawawezi 'donate' Kenya, we buy, I was merely showing your incapability na ubinafsi., ni domo domo tu.
Nyie c mnajifanya mnapesa, ss tuwape msaada kvp? Wenzenu Zambia, Zimbabwe n.k mbn tunawapa misaada ya chakula, nyie kwasabu ni wajeuri huwa mnaomba tuwauzie basi na cc tunawauzia, ila mkikwama kabisa lazima tuwape chakula cz cc ndio baba wa EA
 
Duh: Kama kweli, basi Magufuli kwa hili atakua ameibua makubwa, Kenya hebu tuliangalie Nimeskliza hotuba ya Magufuli kwamba kwa mbinu za kisiri walipeleka sampuli za mananasi, mafenesi, oil ya gari na vitu vingine vingi vikakaguliwe kwenye maabara ili kubaini hizi positives zinazotajwa, hizo sampuli zikaonekana kuwa na corona.
Hii inatisha sasa kama ni kweli, aidha
- Watanzania waliopo kwenye maabara ni wazembe wa kufa mtu, hivyo watasema negative au positive kwa chochote bila kuwa makini.
- Hivi vifaa vya kupima Corona vimehujumiwa na kuna kitu kinasukwa cha kutumaliza Afrika.
- Hao waliosema wamepeleka mananasi iwe wanamdaganya rais

Hiyo hotuba itaibua mengi sana, na inaweza ikajadiliwa mpaka Ulaya, maana leo hii tunaambiwa na kuona watu wanakufa kona zote za dunia, so kwa kifupi hawa watu kitu gani kinawaua jameni.....duh hili lijadiliwe duniani.


Duh: Kama kweli, basi Magufuli kwa hili atakua ameibua makubwa, Kenya hebu tuliangalie - JamiiForums
 
Back
Top Bottom