Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio nilikua nakuelimisha sasa, vitu km hvyo achia hao wanaojiita makamanda wa mitaani

Halafu hilo la club lazima ulifanyie kazi, na pia inategemea unaenda club gani
Sent using Jamii Forums mobile app
ndugu yako kaniambia nyumba yangu ni banda sasa nikamwambia kwanza afike hatua ya kumiliki hio saa alaf aombe nimuineahe nyumba yangu😂😂😂😂😂
 
Choler

Cholera ipo Tz kwa wingi tena sana, wewe kilaza wa CCM unafikiri data zinatoka wapi?., kwa serikali, serikali ya CCM haiwezi peana data halisia kwa tume za kimataifa za utafiti, watapika kama kawaida yenyu, media za kimataifa ndio huwa zinawafumania kupitia waandishi wenyu wanao tuma taarifa nje kisiri kwa hofu ya kukamatwa na useless govt., jiangalie vile mulivyo wengi wenyu., mitaa imechakaa, watu wamezubaa kishenzi, idlers kibao, over 70% slum dwellers, cholera itakosa vipi?., pelekeni ujinga mbali.,
so ww na WHO nani anejua zaidi😂😂😂
 
Waulizeni Waturuki wawarudishe hela zenu. Wakandarasi na wahandisi wakitanzania halisi wangejenga vyema. That thing is utterly ugly wallahi!!!
Having glass doesn't mean it is beautiful.
It can't compete even with smaller stations in Kenya on beauty
View attachment 1438745
subiri ikimilike alaf tuone je utafungua mdomo wako tena 😂😂😂😂
 
sasa hii ni mall unaeza post hapa bro unaijua mwanza vzr wewe au???😂😂😂😂

hvi ni vitu viko moshi👇👇👇
9ECBABB0-5870-4856-9C24-99A8C9D39916.jpeg
491C71DB-02C2-4A35-9150-DE310BEF0206.jpeg
 
Duh: Kama kweli, basi Magufuli kwa hili atakua ameibua makubwa, Kenya hebu tuliangalie Nimeskliza hotuba ya Magufuli kwamba kwa mbinu za kisiri walipeleka sampuli za mananasi, mafenesi, oil ya gari na vitu vingine vingi vikakaguliwe kwenye maabara ili kubaini hizi positives zinazotajwa, hizo sampuli zikaonekana kuwa na corona.
Hii inatisha sasa kama ni kweli, aidha
- Watanzania waliopo kwenye maabara ni wazembe wa kufa mtu, hivyo watasema negative au positive kwa chochote bila kuwa makini.
- Hivi vifaa vya kupima Corona vimehujumiwa na kuna kitu kinasukwa cha kutumaliza Afrika.
- Hao waliosema wamepeleka mananasi iwe wanamdaganya rais

Hiyo hotuba itaibua mengi sana, na inaweza ikajadiliwa mpaka Ulaya, maana leo hii tunaambiwa na kuona watu wanakufa kona zote za dunia, so kwa kifupi hawa watu kitu gani kinawaua jameni.....duh hili lijadiliwe duniani.


Duh: Kama kweli, basi Magufuli kwa hili atakua ameibua makubwa, Kenya hebu tuliangalie - JamiiForums
Fikiria na huyu
IMG-20200503-WA0064.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom