ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
imekuuma kuona ilala au😂😂👇👇 hutaki hii picha iwe ilalaIle Ilala unaletanga picha moja hapa Monday to Monday ama kuna Ilala nyingine?
imekuuma kuona ilala au😂😂👇👇 hutaki hii picha iwe ilalaIle Ilala unaletanga picha moja hapa Monday to Monday ama kuna Ilala nyingine?
lazma upost estate hakuna la zaidi 😂😂 nyumba za wakenya halisi huwezi pata zaidi ya slums 😂😂😂Lang'ata "slum" looking way better than Masaki 😂 😂 😂 View attachment 1437947View attachment 1437950View attachment 1437951
uhehehe leo mapovu yamekutoka 😂😂 eti mzungu aje kushangaa nini hawa wazungu wanaokuja kushangaa slum ni vipi😂😂👇Mzungu kwenyu akuje kufanya nini?., ni Serengeti na kuondoka, nchi ya kukandamiza free speech, na divergent views nani mwenye akili timamu anaweza kuitamani?., ni wezi wa rasilmali zenyu kama dhahabu na vinginevyo ndio wanazurura Tz, warabu na wahindi wamewakalia kitako, nyie mnaishi mitaa yenye small coridors ndio njia ya kupitia, unplanned low quality settlements in large quantities over 80%., weka aerial view Dar yote, utaona developed area ni ndogo sana ukilinganisha na ushamba mliojaza mjini.,
Waiweze wapi basi hyo mombasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzungu kwenyu akuje kufanya nini?., ni Serengeti na kuondoka, nchi ya kukandamiza free speech, na divergent views nani mwenye akili timamu anaweza kuitamani?., ni wezi wa rasilmali zenyu kama dhahabu na vinginevyo ndio wanazurura Tz, warabu na wahindi wamewakalia kitako, nyie mnaishi mitaa yenye small coridors ndio njia ya kupitia, unplanned low quality settlements in large quantities over 80%., weka aerial view Dar yote, utaona developed area ni ndogo sana ukilinganisha na ushamba mliojaza mjini.,
😂😂😂😂👇👇👇👇👇Mzungu kwenyu akuje kufanya nini?., ni Serengeti na kuondoka, nchi ya kukandamiza free speech, na divergent views nani mwenye akili timamu anaweza kuitamani?., ni wezi wa rasilmali zenyu kama dhahabu na vinginevyo ndio wanazurura Tz, warabu na wahindi wamewakalia kitako, nyie mnaishi mitaa yenye small coridors ndio njia ya kupitia, unplanned low quality settlements in large quantities over 80%., weka aerial view Dar yote, utaona developed area ni ndogo sana ukilinganisha na ushamba mliojaza mjini.,
jitahidini mutafika😂😂👇👇👇Waiweze wapi basi hyo mombasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1437985
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbn unaweweseka, hii picha nimeipost mm apa na nimekuambia kwnz kubali kwamba hii ni Parklands mana mwanzo nilipo post ulikataa kwamba co Parklands, kwnz kubali zen ndo uniulize slums ziko api acha wenge [emoji3][emoji3]Nionyeshe hizo vibanda I have circled in red Ziko wapi kwenye ile screenshot ya ichoboy. Mbona unashindwa na kitu rahisi hivyo?View attachment 1437938
Wanakula wao wenyewe, njaa mchezo!!??kwan majamaa hawana kunguru wa kuwasaidia kuwameza?[emoji23].. au kunguru hawezi kula hizo locusts
Maskini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jitahidini mutafika[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1437987View attachment 1437988View attachment 1437989View attachment 1437990
Hata chizi akiona atalia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jitahidini mutafika[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1437987View attachment 1437988View attachment 1437989View attachment 1437990
Ushamtisha tayari, hawezi tena kuku quote [emoji3][emoji3]heheh fikia level ya kumiliki kitu kama hii kwanza ukiweza nitafute[emoji23][emoji23][emoji23]
garmin 5x plus saphire[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1437977View attachment 1437978View attachment 1437979
zitafute hapo tuzione 😂😂😂😂
ananiletea dharau za kikabila hapa 😂😂 anachukulia kila mtu simple tu humu ndaniUshamtisha tayari, hawezi tena kuku quote [emoji3][emoji3]
Kumaliza ubishi sio!?tufanye mkataba hamna, na hio kampuni iko chini ya wakenya sio wachina! yan corona iwatese na wachina wawatese tena kweli? hapana, kichwa kitakuuma [emoji23]
Wana maisha magumu sn wakenya, nchi yao kila siku mabalaa hayaishi lkn bado wanataka kushindana na nchi yenye baraka zote toka kwa Mungu never[emoji3][emoji3]ananiletea dharau za kikabila hapa [emoji23][emoji23] anachukulia kila mtu simple tu humu ndani
Aerial view from the far end ya mama Ngina Drive, sijapaona mahali popote, nadhani kwa sababu ya state house around that area, pale skyscraper zimeinuka kuruka, Kizingo arae., kupiga picha unaweza shikwa.,Waiweze wapi basi hyo mombasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1437985
Sent using Jamii Forums mobile app
sijui mwaka wa mwisho kusikia cholera ilikua mwaka gani hata burundi sijasikia neno hiloWana maisha magumu sn wakenya, nchi yao kila siku mabalaa hayaishi lkn bado wanataka kushindana na nchi yenye baraka zote toka kwa Mungu never[emoji3][emoji3]