Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwenye Taarifa yako si umemtaja ummy mwalimu kwamba ndio katoa report ya cholera Tz, hio si tayari inamaanisha serikali, Taarifa yako ni ya uongo umeandika mwenyewe hiyo habari
Huwa wanafanya kila njia tuwe sawa, yn wameshindwa kwny njaa na locust tu
 
Vibes za Los Angeles
6B316328-1269-47B7-8391-6E6417E93B6B.jpeg
BDEF087A-16BB-4FC5-B629-9E5DDBDE9DFF.jpeg
D7F4C78A-EA3D-4F60-816A-9A4AD328848D.jpeg
 
M
Kinga ya kipindupindu ni usafi,
Sisi watanzania tunajitahidi sana kwenye usafi,
Na nyie jitahidini kwenye usafi muone kama kipindupindu kitawasumbua tena,
Cholera worldwide overview
Ona haya mazingira yenu halafu unakuja na ujinga wako hapa,

Halafu unazungumzia hali duni embu Pitia hii link.
14.5m Kenyans face hunger every year

Mbona over 70% ya Dar residents are poverty stricken?., nyie bado sanaa, kama many African countries, ila wengi wenyu ni hovyo EAC na SADC (simaanishi sisi tuko nafuu, sisi tunakubali mapungufu), jitahidi mtafaulu, hasa vijana wachangamke, si kuzubaa kwa beach na kuweka vipicha vya Oyster Bay hapa na kwao bara kijijini bado wako matopeni.,
 
Na wewe kama kijana na wenzako mko wapi?., the youths are the future unajua., soma taarifa hapa kuhusu hiyo data about the youth;.


Kenya records the highest number of dollar millionaires under 35 years in Africa even as South Africa leads the pack with 1,033 ultra-rich persons
03/05/2020 | PULSE LIVE KENYA | GEORGE TUBEI
This is according to the 2020 Knight Frank’s Wealth Report which showed the country had a very large number of millennials who are wealthy as of last year.

Kenya was ranked sixth in Africa among the countries captured by the Wealth Report.
Kenya boosts the highest number of high net worth individuals under the age of 35 years with a net worth of at least Sh100 million ($1 million) when compared to its peers in Africa.
This is according to the 2020 Knight Frank’s Wealth Report which showed the country had a very large number of millennials who are wealthy as of last year. The report does not, however, name individuals.
“In Kenya, we had the highest number of Generation Z, people born after 1995, who are considered HNWIs and who are the clients of wealth advisers in Kenya. It also showed a very large number of millennials who are wealthy,”
said Andrew Shirley, one of the researchers behind the Wealth Report.
“So what we are seeing in Kenya is an outperformance of young entrepreneurial wealth creation and in terms of sectors they are coming from technology.”
According to the report released on Wednesday, the number of a dollar millionaires in the country has grown 263 per cent since 2014, and now stands at 2,900. It is expected to rise to 3369 by 2024.
In the same breath, an estimated 499 Kenyans dropped from the rank of dollar millionaires last year due to a slowdown of the economy.
Similarly, six Kenyans also dropped from the elite group of super-wealthy persons known as Ultra High Net-Worth Individuals (UHNWI) with a net worth of more than Sh3 billion, cutting their number to 42.
Over the past three years, the Kenyan economy has been struggling to recover following a bruising presidential election in 2017 that put on hold many investment decisions. This was compounded by poor weather that held back farming — which accounts for a third of the country’s gross domestic product (GDP)—last year.
“The drop in number of dollar millionaires was a reaction to the slowdown of the Kenyan economy,” said Shirley.
Last year was also characterised by a drop in corporate profits that saw thousands of people lose their jobs and cut dividends from firms owned by the wealthy.
Kenya was ranked sixth in Africa among the countries captured by the Wealth Report.
South Africa leads the pack with the highest number of wealthy persons with a net worth in excess of Sh3 billion ($30 million) with 1,033 ultra-rich persons followed by Egypt (764) Nigeria (724) Morocco (215) and Tanzania (114).
The Knight Frank’s Wealth Report describes wealth as the net assets of a person that includes property, cash, equities, business interests less any liabilities and their primary residences.
The report reckons that Kenya’s wealthy are increasingly becoming conservative in their investments, preferring less risky and low returns assets like bonds, gold and cash—where they pocket interest payments.
Source of wealth
The manufacturing, real estate and technology sectors have been the biggest contributors to the number of new dollar millionaires in recent years.
Previous wealth reports on Kenya have also shown strong linkages between politics and wealth accumulation.
Subscribe to "BI" newsletter
Join 10,000 others, get the latest African business trends, profiles and news straight to your inbox
Thank you! You have successfully subscribed to receive the pulselive.co.ke newsletter
Opps an An error Occured
SEND ME UPDATES
GEORGE TUBEI
Tell your friends
Eyewitness? Submit your stories now via social or:
WhatsApp: +254708994405
Email: eyewitness@pulselive.co.ke
MOST POPULAR
Elon Musk declared that he's selling 'almost all' of his physical belongings and 'will own no house,' and that Tesla's stock price is 'too high' (TSLA)
Bill Gates says the world would need as many as 14 billion doses of a coronavirus vaccine to stop the virus
Trump calls protesters who carried guns into the Michigan state capitol 'very good people' and says the governor should 'make a deal' with them
The top 7 movies on Netflix this week, from 'Extraction' to 'Incredibles 2'
President Akufo-Addo appoints Francis Boateng as new TOR MD
Tara Reade says the words 'assault' or 'harassment' won't be found in her 1993 complaint against Biden
Brazil is letting the coronavirus run wild with little intervention, and the results are strikingly bad
Bill and Melinda Gates just bought a $43 million beach house in California — see inside
Bill Gates thinks there are 8 to 10 promising coronavirus vaccine candidates and one could be ready in as little as 9 months
Biden asks the secretary of the Senate to direct a search for an alleged sexual harassment complaint filed by a former staffer Nairobi City s
Ss mbn mwanzoni mlikuwa mnazikataa hizi report mlikuwa kwenye Denial stage, sahivi mpo kwenye Acceptance stage mshakubali eehh
 
Huwa wanafanya kila njia tuwe sawa, yn wameshindwa kwny njaa na locust tu
Kaka, licha ya mapungufu yetu hatuwezi linganishwa na nyinyi., size yenyu ni kina Cameroon, na your neighbours kama Malawi, Mozambique etc, system tofauti, raiya wazembe, uchumi duni raiya wengi😂😂😂 tuko na mapungufu lakini tunamenyana nayo, hatuombi chakula tunanunua, hatukubaatika kupata nchi yenye uzalishaji kila upande, zaidi ya nusu ni jangwa, viongozi wako corrupt, ukabila n.k., na bado mko chini yetu, hamuoni aibu?
 
Kaka, licha ya mapungufu yetu hatuwezi linganishwa na nyinyi., size yenyu ni kina Cameroon, na your neighbours kama Malawi, Mozambique etc, system tofauti, raiya wazembe, uchumi duni raiya wengi tuko na mapungufu lakini tunamenyana nayo, hatuombi chakula tunanunua, hatukubaatika kupata nchi yenye uzalishaji kila upande, zaidi ya nusu ni jangwa, viongozi wako corrupt, ukabila n.k., na bado mko chini yetu, hamuoni aibu?
Hongera km cku hz hamuombi tena chakula
tapatalk_1588320761780.jpeg
 
Hongera km cku hz hamuombi tena chakula View attachment 1438430
They donate willingly, kujependekeza for the sake of their interest,(study political science kaka), Kenya ingefaa ikatae kama vile Fidel Castro alivyokua akifanyia marekani walipojipendekeza na misaada ya chakula, viongozi wetu sio Pan Africanist, hayo kando, nyie wachoyo hamjawai toa msaada wakati tunapatwa na majanga, serikali yatu hunatuma pole na misaada ikiwezekana kwenyu.,
Hatuombi chakula, na hamutulishi, tunanua kutoka kwenyu na kwingineko.
 
Hongera km cku hz hamuombi tena chakula View attachment 1438430
They donate willingly, kujependekeza for the sake of their interest,(study political science kaka), Kenya ingefaa ikatae kama vile Fidel Castro alivyokua akifanyia marekani walipojipendekeza na misaada ya chakula, viongozi wetu sio Pan Africanist, hayo kando, nyie wachoyo hamjawai toa msaada wakati tunapatwa na majanga, serikali yatu hunatuma pole na misaada ikiwezekana kwenyu.,
Hatuombi chakula, na hamutulishi, tunanua kutoka kwenyu na kwingineko.
 
Nimekuambia acha comparison na hi tajiri, wacha useng**
That is the pattern ukatae ukubali, wachache wanamiliki uchumi nchi mingi sana dunia yote, ata ukienda Malawi ldc mwenzenyu ni hivyo., wewe basi weka hapa maoni yako nisome...
 
They donate willingly, kujependekeza for the sake of their interest,(study political science kaka), Kenya ingefaa ikatae kama vile Fidel Castro alivyokua akifanyia marekani walipojipendekeza na misaada ya chakula, viongozi wetu sio Pan Africanist, hayo kando, nyie wachoyo hamjawai toa msaada wakati tunapatwa na majanga, serikali yatu hunatuma pole na misaada ikiwezekana kwenyu.,
Hatuombi chakula, na hamutulishi, tunanua kutoka kwenyu na kwingineko.
Lini serikali yenu ilitoa msaada kwetu? 😂😂😂😇
 
Back
Top Bottom