Nyie ni wachoyo, roho mbaya kama wachina tu., kuna sehemu niliona wanyarwanda wakilalamika vile wanakwaya wao walipopata ajali Tanzania hawakupata usaidizi, ilibidii Rwanda itume msaada, wengi waliaga., did you know?, I watched on Citizen tv one time, kikundi cha akina mama cha kikanisa walikua wanaenda mkutano Tz wakapata ajali, raiya walikataa kuwasaidia walitaka wapewe pesa eti., natafuta hiyo taarifa., kwa kweli ni nani aliwaroga nyinyi?., mwaka jana ama juzi kuna kikindi cha vijana walikua wanasafiri kuelekea Uganda, basi lao likapata ajali Nakuru, karibu na black spot ya sachangwan, wawili walifariki, good samaritan Kenyans walisafirisha majeruhi hadi Nakuru mjini kwa matibabu na maiti zikapelekwa mortuary., wale walio baki walipelekwa Nakuru free of charge.,