Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Labda mchina wa Kibera, tuna miaka takribani mitano bila kuskia habari za Cholera. Huwa tuna utaratibu wa kufanya usafi katika mitaa kila mwisho wa mwezi nchi nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
si mm nimeshangaa pia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alaf wao kila mwaka lazma wasugue gaga na cholera na sio kwamba inawaacha salama
 
ohh kwanini magufuli yuko chato ohh nye nye nye kumbe makalio yao yashakua majivu

 
πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
29BEEE81-E582-49D8-9E9E-23440DD17F6F.jpeg
 
sikutegemea kusikia kijana kama ww unaongea nonsense kama hii mm sio sharobaro wakuvaa cheni au upuuzi wowote na infact nikikwambia nina miaka 8 sijakanyaga club yoyote unaeza amini???
Ndio nilikua nakuelimisha sasa, vitu km hvyo achia hao wanaojiita makamanda wa mitaani

Halafu hilo la club lazima ulifanyie kazi, na pia inategemea unaenda club gani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom