game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,053
- 26,331
Hapo uhuru packs looks green when it rains, Nenda hapo September, hahahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo uhuru packs looks green when it rains, Nenda hapo September, hahahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app

jangwaCholera ipo Tz kwa wingi tena sana, wewe kilaza wa CCM unafikiri data zinatoka wapi?., kwa serikali, serikali ya CCM haiwezi peana data halisia kwa tume za kimataifa za utafiti, watapika kama kawaida yenyu, media za kimataifa ndio huwa zinawafumania kupitia waandishi wenyu wanao tuma taarifa nje kisiri kwa hofu ya kukamatwa na useless govt., jiangalie vile mulivyo wengi wenyu., mitaa imechakaa, watu wamezubaa kishenzi, idlers kibao, over 70% slum dwellers, cholera itakosa vipi?., pelekeni ujinga mbali.,Hawarudii tena km unabisha ngoja uone, wakija hapa watajifanya kupotezea wataanzisha mada mpya, Tz bhn baba laooo![]()
Hii

ipewe kitiHawa wapumbaavu korona imepelekea kujifungia ndani sasa wanakula mavii wanapata kipindupindusijui mwaka wa mwisho kusikia cholera ilikua mwaka gani hata burundi sijasikia neno hilo
What is the gross domeatic production ya uchumi wenu kwa sasa?., your league is Cameroon and Ghana, na wale Ghana wako nafuu kiwaliko tena sana., outgoing na ni watu wakujituma., nyie munajipima na vigorofa na ka fkyover., how much is your port raking in as at 2019?., what is the net profits of your businesses; banks, telecommunications, other industries., what revenue does your cities get?., weka data hapa., nyie hata 2050 hamtoweza.Tuliwaambia 2020 ndiyo mwaka wao wa maumivu, yn waishukuru sn hii covid-19 la cvyo ilikuwa tunamaliza mchezo mapema sn
Usiseme sana ,,,sasa hivi na huyu mkenya atajigeuza binti kama komora watataka uwaonge Pesa wagange njaa ,siku utamiliki kitu kama hiyo njoo nikuoneshe nyumba nayomiliki mm mbuzi wewe unaona kila mtu humu ndani rika yako![]()
Data hizi hapaWhat is the gross domeatic production ya uchumi wenu kwa sasa?., your league is Cameroon and Ghana, na wale Ghana wako nafuu kiwaliko tena sana., outgoing na ni watu wakujituma., nyie munajipima na vigorofa na ka fkyover., how much is your port raking in as at 2019?., what is the net profits of your businesses; banks, telecommunications, other industries., what revenue does your cities get?., weka data hapa., nyie hata 2050 hamtoweza.




Shida yenu kubwa ni huwa mnadhani kila aliyeko tofauti na nyie humu ni ccm 😂😂 😂Choler
Cholera ipo Tz kwa wingi tena sana, wewe kilaza wa CCM unafikiri data zinatoka wapi?., kwa serikali, serikali ya CCM haiwezi peana data halisia kwa tume za kimataifa za utafiti, watapika kama kawaida yenyu, media za kimataifa ndio huwa zinawafumania kupitia waandishi wenyu wanao tuma taarifa nje kisiri kwa hofu ya kukamatwa na useless govt., jiangalie vile mulivyo wengi wenyu., mitaa imechakaa, watu wamezubaa kishenzi, idlers kibao, over 70% slum dwellers, cholera itakosa vipi?., pelekeni ujinga mbali.,
Those are individuals, unafahamu 1% ya the super rich in US control the resources?., nikama 10% ya warabu na wahindi pale Dar wanavyo control huo uchumi.,
Asante kwa kukubaliThose are individuals, unafahamu 1% ya the super rich in US control the resources?., nikama 10% ya warabu na wahindi pale Dar wanavyo control huo uchumi.,


Wale hawapiki wanakusanya yale wamepata ndio watatangaza, zile nchi za kuficha vifo na maradhi hazioredheshwi kwa sababu hawana records, serikali hovyo ndizo zinaficha data., when some sense of civility and true democracy will happen in Tz ndajua mtapaa zaidi ya kila nchi Africa, potential ya Tz ni kubwa, hilo liko wazi, kwa sasa ni hekaya za abunwasi, propaganda and public relations projects, ilhali raiya wako na hali duni.Shida yenu kubwa ni huwa mnadhani kila aliyeko tofauti na nyie humu ni ccm 😂😂 😂
Kwa hiyo tuache upotoshe humu!
Ona sasa unaleta makasiriko saa hizi,
Sasa hizo media za kimataifa mbona Sijaona zikituumbua kwa hii link?
Cholera worldwide overview
Hiyo ni worldwide statistics,
Soma uone mmewekwa kundi gani.
Saivi mmebaki na excuses za kusema tunaficha data, endeleeni na mentality hyo huku cc tunawapiga gap kila uchwaoWale hawapiki wanakusanya yale wamepata ndio watatangaza, zile nchi za kuficha vifo na maradhi hazioredheshwi kwa sababu hawana records, serikali hovyo ndizo zinaficha data., when some sense of civility and true democracy will happen in Tz ndajua mtapaa zaidi ya kila nchi Africa, potential ya Tz ni kubwa, hilo liko wazi, kwa sasa ni hekaya za abunwasi, propaganda and public relations projects, ilhali raiya wako na hali duni.


Kwenye Taarifa yako si umemtaja ummy mwalimu kwamba ndio katoa report ya cholera Tz, hio si tayari inamaanisha serikali, Taarifa yako ni ya uongo umeandika mwenyewe hiyo habariWale hawapiki wanakusanya yale wamepata ndio watatangaza, zile nchi za kuficha vifo na maradhi hazioredheshwi kwa sababu hawana records, serikali hovyo ndizo zinaficha data., when some sense of civility and true democracy will happen in Tz ndajua mtapaa zaidi ya kila nchi Africa, potential ya Tz ni kubwa, hilo liko wazi, kwa sasa ni hekaya za abunwasi, propaganda and public relations projects, ilhali raiya wako na hali duni.
Corona imewaumbua kaka, hampeani number halisi, hiyo ni desturi ya philosophia ya communist, it came out kupitia preassure ya wapinzani na malalamishi ya raiya, nimefuatilia uzi zenyu kwa muda, nilisikia eti hamtaki raiya wawe na hofu, ama ni serikali hawataki aibu?., Pia hiyo ya Cholera sishangazwi hata kidogo.Kwenye Taarifa yako si umemtaja ummy mwalimu kwamba ndio katoa report ya cholera Tz, hio si tayari inamaanisha serikali, Taarifa yako ni ya uongo umeandika mwenyewe hiyo habari
Kinga ya kipindupindu ni usafi,Wale hawapiki wanakusanya yale wamepata ndio watatangaza, zile nchi za kuficha vifo na maradhi hazioredheshwi kwa sababu hawana records, serikali hovyo ndizo zinaficha data., when some sense of civility and true democracy will happen in Tz ndajua mtapaa zaidi ya kila nchi Africa, potential ya Tz ni kubwa, hilo liko wazi, kwa sasa ni hekaya za abunwasi, propaganda and public relations projects, ilhali raiya wako na hali duni.
Kaa na ujinga wako wa ntvCorona imewaumbua kaka, hampeani number halisi, hiyo ni desturi ya philosophia ya communist, it came out kupitia preassure ya wapinzani na malalamishi ya raiya, nimefuatilia uzi zenyu kwa muda, nilisikia eti hamtaki raiya wawe na hofu, ama ni serikali hawataki aibu?., Pia hiyo ya Cholera sishangazwi hata kidogo.
Nyie ni wachafu halafu mnadhani kila mtu ni mchafu kama nyie,Corona imewaumbua kaka, hampeani number halisi, hiyo ni desturi ya philosophia ya communist, it came out kupitia preassure ya wapinzani na malalamishi ya raiya, nimefuatilia uzi zenyu kwa muda, nilisikia eti hamtaki raiya wawe na hofu, ama ni serikali hawataki aibu?., Pia hiyo ya Cholera sishangazwi hata kidogo.
Hawa majirani sio tu ni masikini bali pia akili zao mbovunarudia kukwambia siku utaniambia hapo ni wapi dar mm nafunga acc jamii forum unless endelea kuokota picha za google na kusema dar
hii ni live bula chengamzungu hawezi kua mjinga narudia tena
View attachment 1438175View attachment 1438176View attachment 1438177View attachment 1438178View attachment 1438179View attachment 1438180View attachment 1438181View attachment 1438182View attachment 1438183View attachment 1438184View attachment 1438185View attachment 1438186View attachment 1438187View attachment 1438188View attachment 1438189View attachment 1438190View attachment 1438191View attachment 1438192View attachment 1438193View attachment 1438194