Bongo ni kubanjuka tu mwaka mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bongo ni kubanjuka tu mwaka mpya

Discussion in 'Entertainment' started by Babuji, Jan 2, 2009.

 1. B

  Babuji Senior Member

  #1
  Jan 2, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  hapo! Hapo! Hapooooooooo!!!!!!!!!!!!

  [​IMG]
  Shabiki wa muziki wa Taarab, ambaye hakuweza kufahamika jina lake mapema akijirusha kwenye jukwaa la Jahazi huku akiwa ni mjamzito asiyeonekana kukihurumia kiumbe alichonacho tumboni kwa yale aliyokuwa akiyafanya jukwaani hapo

  [​IMG]
  Mpakate mpaka chini!

  [​IMG]
  Mkazi wa Chang'ombe Dar es Salaam, Elizabeth Richard (kushoto) akimdhibiti kijana aliyejitambulisha kwa jina la Baraka Johnson, mkazi wa Yombo, aliyedaiwa kujaribu kumtendea kitendo kichafu cha udhalilishaji wa kijinsia, wakiwa kwenye msongamano wa watu waliokuwa wakiingia kwenye Mkesha wa kuliombea Taifa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Jijini usiku wa kuamkia jana. Kulia ni Ofisa usalama akijaribu kutoa msaada

  [​IMG]
  Wakazi wa Dar es Salaam, wakiomba dua wakati wa mkesha wa kuliombea Taifa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, usiku wa kuamki January 1.

  Source: ***********.com
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  haya ndio mambo tunayopiga bao watu wa majuu..........Angalia na hii video ujue kwanini watu hatutaiacha bongo.
   
 3. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Hapana shaka jamaa aling'oa kichwa..

  Yo Yo hiyo video nimeikubali kamanda!
   
 4. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2009
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Hapana bwana kwa mwanaume uliekamilika lazima utafanya kila liwezekanalo kuopoa mmoja kati yao;kwa jinsi wanavyotamashi na wanafanya hivyo makusudi ili watu washoboke then..finally uroda hakuna jingine ila baadaye kama hauko makini ni maradhi tu.
   
 5. B

  Babuji Senior Member

  #5
  Jan 2, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asikwambie mtu bongo raha , mcheza kwao hutunzwa!!
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Jan 2, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Yaah! hata mimi nimemkubali huyo mdada....

  Ana potential kubwa sana ya ku make top dollar pale Magic City aka The Best Candy Shop in the world...
   
 7. B

  Babuji Senior Member

  #7
  Jan 2, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi hawa jamaa hawajaacha mchezo wao wa kudunga watu tu!!
   
 8. M

  Mtu wa Kawaida JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nimekubali uzuri wa nyumbani. Nyumbani ni nyumbani
   
 9. B

  Babuji Senior Member

  #9
  Jan 3, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa nadhani ilikuwa " Kwanini unanitongozea demu wangu " teh teh :D:):eek:

  [​IMG]
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0

  Ukinicheki utacheki na kucheki lakini nacheki kama hazitetemeki basi nacheki
  mimi sicheki nimetembelea kwingi na kuzishika nyingi
  tangu shule ya msingi
  Na hizo kwini keki zimesimama kama hazina breki
  Ningekuwa gari hata nisnge overtake
  Ningefuata kwa nyuma
  ukikwama nasukuma
  hata kama niko chuma

  Zingine zimesimama zinataka kudondoka
  zingine zimefura zataka kulipuka
  zingine zina madimpo
  Zingine big sana kama 40Kg
  Mimi napenda zikivalia mini au bikini
  kuzichungulia kichini chini
  cheki zikibonga bonga
  cheki zikisonga songaa

  Malizia na hii 20kg
   
 11. B

  Babuji Senior Member

  #11
  Jan 3, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mzee una misitari ya mana tutoe singo basi mi nitaitikia chorus :D :D :D
   
Loading...