Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

EIG75UMX0AAUPnL

EIG75ULX0AARhV5
 
Aerial view from the far end ya mama Ngina Drive, sijapaona mahali popote, nadhani kwa sababu ya state house around that area, pale skyscraper zimeinuka kuruka, Kizingo arae., kupiga picha unaweza shikwa.,
na mbona ikulu ya nairobi inapigwa picha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unatuletea stori z abunwasi hapa
 
Bado sana!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dar ni Mombasa kabisaaa.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ eti "mtafika", na latest road network ya Mombasa inawatoa kamasi, Dar ukiondoa BRT hamna cha maana sana isipokua kigamboni bridge.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hio mwanza bwege wewe unafkiri wapi hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umechanganya memory tayar
 
n
Wana maisha magumu sn wakenya, nchi yao kila siku mabalaa hayaishi lkn bado wanataka kushindana na nchi yenye baraka zote toka kwa Mungu never
Inaonekana vile kwasababu ya uhuru wa viombo vya habari, same with South Africa, Nigeria na nchi mingi zenye some level of civility, nyie China na North Korea ni "paradiso"., watu wa kuigwa kwa kila jambo, pia kupigana na Corona hamjambo. Tz mulirogwa zamani sana kabla ya mwarabu(Sultani) kutua bara hindi na kuingia pwani ya East Africa, miaka mingi kabla ya mabeberu.,
 
wanampangia kazi magufuli wanasahau kuna cholera bado ipo sijui mwaka gani huu ugonjwa niliusikia πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
n

Inaonekana vile kwasababu ya uhuru wa viombo vya habari, same with South Africa, Nigeria na nchi mingi zenye some level of civility, nyie China na North Korea ni "paradiso"., watu wa kuigwa kwa kila jambo, pia kupigana na Corona hamjambo. Tz mulirogwa zamani sana kabla ya mwarabu(Sultani) kutua bara hindi na kuingia pwani ya East Africa, miaka mingi kabla ya mabeberu.,
tanzania haitawah kuiga kenya kwenye jambo lolote mark my words πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sisi hatuendeshi nchi ovyo kama hio laana ya kenyatta inavowatesa leo nchi inanuka shida kila kona alaf munakuja fungua makalio yenu hapa, jipangeni upya na tabu mutapata sana
 
MY TAKE
grapevine news say the young girl succumbed to coronavirus that deliberately been claimed accident! May her soul RIP!
 
hio mwanza bwege wewe unafkiri wapi hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umechanganya memory tayar
Fact remains, ata uandike nini; upinge, usipinge ukweli ni hivyo; Dar=Mombasa na Mombasa=Dar., haitobadilika. Wewe rusha vipicha vya Dar hapa niburudike, Kajitonyama, Ilala, Oyster Bay n.k., kwingine makao ya watu zaidi ya asilimia sabini na paelewa.,
 
hio umesema ww so mombasa imekuja kusaidia nairobi yani dar = nai + msa ni sawa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ruksa ije isaidie
pambana na ukweli kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
mzungu sio mtu mzuri
32BB9D2F-9B7D-4A8C-A0FF-E3C45435F637.png
 
Hii ndio second city?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

LDC for lifeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
tafuta suburb za mombasa tuone vichekesho leo hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ failed state forever πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† bado muko na cholera kumbe basi pambaneni bado sana
 
hio umesema ww so mombasa imekuja kusaidia nairobi yani dar = nai + msa ni sawa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ruksa ije isaidie
pambana na ukweli kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
mzungu sio mtu mzuri View attachment 1438023
Nyie huyo mzungu amekariria 90% walala hoi kutupwa, viombo vyenyu hafifu vya habari ndio wanasema eti ni 70%, mie nachagua kuamini viombo vyenyu vya habari, mzungu si mtu mzuri kama unavyosema.,
 
Back
Top Bottom