Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,598
- 15,704
Ile Ilala unaletanga picha moja hapa Monday to Monday ama kuna Ilala nyingine?😂😂😂😂😂ilala imekutoa kamasi unaota kijitonyama
Ile Ilala unaletanga picha moja hapa Monday to Monday ama kuna Ilala nyingine?😂😂😂😂😂ilala imekutoa kamasi unaota kijitonyama
Hao wanajiita Kenya Afristar😂😂kenya ni colony la china kwan ilikua hujui😂😂
Nionyeshe hizo vibanda I have circled in red Ziko wapi kwenye ile screenshot ya ichoboy. Mbona unashindwa na kitu rahisi hivyo?Kwnz kubali kwmb hii ni Parklands zen nkuoneshe slums huenda nakulaumu bure kumbe uko shortsighted![]()
View attachment 1437933

Dream house 😂 😂 😂 Hiyo hata nipewe bure siwezi.mm nimekuonesha misitu au 😂😂😂😂 mimi nina nyumba ambayo itakuchukua miaka300 wewe kumiliki mbuzi wewe
tweet with a link stop being quoting for attention!
Haitaki ubishi wala makasiriko.Parklands borders Muthaiga, the leafy side as you can see in that picture. There's no slum between parklands and the leafy side Muthaiga which you can also see in that picture. Swali ni kwamba: zile vibanda zilikuwa Kwa ile picha ulileta zimepotea wapi kwenye hiyo screenshot ya ichoboy? Where is the slum you were talking about in that screenshot??
Mzee hili ni jeshi! Flamingo Wameshindwa!kwan majamaa hawana kunguru wa kuwasaidia kuwameza?.. au kunguru hawezi kula hizo locusts
Si ndio zimetoka kw media flani tu, wala hujaleta official sourcetweet with a link stop being quoting for attention!
Hiyo ambia yule kilaza mwenzako 😂 😂 😂Haitaki ubishi wala makasiriko.
Bwahahaa!!huwezi kuja na habari kutoka kwa media bila ya official source...tufanye mkataba hamna, na hio kampuni iko chini ya wakenya sio wachina! yan corona iwatese na wachina wawatese tena kweli? hapana, kichwa kitakuuma![]()

Kujitetea lazima hyohuna trust me na hutakua nayo mpaka yesu ashuke![]()


😂😂😂👇👇👇👇mzungu huyuNairobi kumejaa slums 😂 😂 😂
View attachment 1437922View attachment 1437924View attachment 1437925View attachment 1437926View attachment 1437927View attachment 1437928View attachment 1437922View attachment 1437924View attachment 1437925View attachment 1437926View attachment 1437927View attachment 1437928View attachment 1437930
heheh fikia level ya kumiliki kitu kama hii kwanza ukiweza nitafute😂😂😂Dream house 😂 😂 😂 Hiyo hata nipewe bure siwezi.
Mzungu kwenyu akuje kufanya nini?., ni Serengeti na kuondoka, nchi ya kukandamiza free speech, na divergent views nani mwenye akili timamu anaweza kuitamani?., ni wezi wa rasilmali zenyu kama dhahabu na vinginevyo ndio wanazurura Tz, warabu na wahindi wamewakalia kitako, nyie mnaishi mitaa yenye small coridors ndio njia ya kupitia, unplanned low quality settlements in large quantities over 80%., weka aerial view Dar yote, utaona developed area ni ndogo sana ukilinganisha na ushamba mliojaza mjini.,taja hapo ni sehemu gani dar 😂😂 unafkiri kuna mabanda ya nguruwe huku yani mzungu asione mabanda uone wewe 😁😁😁 utasubiri miaka 300