komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Ndio kasepa hvomm hua sibishani nakupa ukweli tuukikasirika poa ukifurahi poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kasepa hvomm hua sibishani nakupa ukweli tuukikasirika poa ukifurahi poa
Wasubirini hao wataalamu mpk wathibitishe cc tunatumia tu na tunapona, hao wataalamu wenu c huwa wanawaambia kuna baadhi ya magonjwa hayana dawa? Mwafrika bhn kweli akili ndogoHao watu wa mtaani nani kawapima, jamaa mbona msiwape nafasi madaktari wazawa wafanyie test hvyo vitu km je vina madhara baada ya matumizi
Sent using Jamii Forums mobile app


Kwn umeambiwa Magu mbeba magunia? Kazi zake popote alipo anafanya tu.Yani rais yupo likizo halafu anawashauri watu wachape kazi..
Kweli jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia kichwa kuwaza au kama kifuniko cha mwili.Ukweli inakuuma sana, corona imewaumbua. Nchi ovyo, nawa hurumia tu. Weka vipicha vya Dar niburudike na uzuri (precisely the few developed selected area, the rest 90% tunakujua) flyovers zimefika ngapi?.,
Kudadadeki
Kuanzia mazingira ya hiyo Ikulu hadi nguo za viongozi wenu ni hamnazo
Atakuletea picha moja ya Ilala yenye ameshinda akileta hapa kila sikuBwahahaaa..nairobi tayari kuna kariakoo nyingi sana...
Narudia tena, dar sehemu zilizojengeka ni cbd, kariakoo na upanga..
Yani kw ukubwa wote ule halafu maendeleo yapo kiduchu hvo...kweli mna safari ndefu
Km unabisha niletee sehemu iliyojengeka zaidi ya hzo tatu..povu rukhsa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu niletee hiyo density ya Kijitonyama nioneupper hill ina nn ina density gani??😂😂😂maskini ya Mungu munakazi sana bado
Screenshot picha ya makeup yenye Nimewahi leta hapa kijana wa tandale. Nilishakuambia wewe kazi yako ni kutapatapa tuLeo umeleta picha bila make up mzee, safi sana n that is real Nairobi![]()
Kijitonyama bhn tamu sanaHebu niletee hiyo density ya Kijitonyama nione




You need to take a lesson on photography. Hiyo picha imepigwa mbali sana na town. It's actually somewhere around industrial areaHuwezi kuta mazingira km yale ndani ya town Dar never ever.
Hiyo ndio density? What's the difference between the first picture and the third picture? You are basically showing the same buildings along the same road taken in different angles. Upper Hill does not have linear development kama hii Kijiko na nyama yenu to start comparing the two
Maana ya density ni kama zile tugorofa viwili vya Kijikonyama 😂 😂 😂upperhill ina density gani hvi nyinyi mwatufanya sisi wageni nairobi au hatuna akili hvi munajua maana ya density 😂😂😂😂
Yani parklands alone is way better than ile kijikonyama yao tunaimbiwa hapa usiku na mchana. There are tall buildings all over. kijikonyama kuna vigorofa viwili along stretch moja ya barabara halafu tunapigiwa kelele hapaHehehe,hi ni nini sasa,huwa najiuliza kwani ilala huwa na picture moja tu,if unajiamini na ilala inaweza chapa parklands, bring it over with another aerial view like this boy
View attachment 1437094
Hiyo ndio density? What's the difference between the first picture and the third picture? You are basically showing the same buildings along the same road taken in different angles. Upper Hill does not have linear development kama hii Kijiko na nyama yenu to start comparing the two

imekuuma eehh, hyo ni makumbusho jombaa.