Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani parklands alone is way better than ile kijikonyama yao tunaimbiwa hapa usiku na mchana. There are tall buildings all over. kijikonyama kuna vigorofa viwili along stretch moja ya barabara halafu tunapigiwa kelele hapa
Usisahau pale makumbusho kuna barabara moja kalii inapita pale, mitaro mikubwa mpk ww unaingia, tena ukiwa umebebwa kichwani pia ghorofa za adabu zinajengwa pale, hebu jaribu cku utoke hapo kenya uje bongo zen pitia pale makumbusho uone tofauti ya kuishi Afrika na kuishi Afrika mpya co unamaliza maisha yako yote kuishi sehemu moja tu
 
IMG_1588414064.149715.jpg
 
I have no business coming to Tanzania. Siku kijikonyama itafika level ya parklands below niambie.
2386450_2371967_tapatalk_1565342646759.jpeg

I might change my mind and consider coming
 
Wasubirini hao wataalamu mpk wathibitishe cc tunatumia tu na tunapona, hao wataalamu wenu c huwa wanawaambia kuna baadhi ya magonjwa hayana dawa? Mwafrika bhn kweli akili ndogo
Kwhyo mwiko kwako wataalamu wazawa wa tanzania kufanyia majaribio hyo dawa km ipo vipi...
Au hamuwahurumii wale watu wa pale amana, sasa ujamaa hapo utakuwepo kweli km dawa mnatumia mitaani tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau pale makumbusho kuna barabara moja kalii inapita pale, mitaro mikubwa mpk ww unaingia, tena ukiwa umebebwa kichwani pia ghorofa za adabu zinajengwa pale, hebu jaribu cku utoke hapo kenya uje bongo zen pitia pale makumbusho uone tofauti ya kuishi Afrika na kuishi Afrika mpya co unamaliza maisha yako yote kuishi sehemu moja tu
Unamaanisha ile street pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom