Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ni kweli lkn kuna namna watu wanapungua kwa kufariki kimya kimya, nina ndugu yangu anasema rafiki yake amefariki Amana jana, uchumi unaendelea vizur lkn tuhuthibiti huu ugonjwa, pia sisi wenyewe tujikinge kwa kuvaa masks kila siku
sio kila anaefariki ni corona kwan vifo havikuwepo kabla ya corona??? au kabla ya corona palikua hakuna maradhi yanaua watu, hebu tufikiri kidogo hapo
 
kojoa ulale hakuna sehemu yoyote nairobi yenye density zaidi ya misitu
Bwahahaaa..nairobi tayari kuna kariakoo nyingi sana...
Narudia tena, dar sehemu zilizojengeka ni cbd, kariakoo na upanga..

Yani kw ukubwa wote ule halafu maendeleo yapo kiduchu hvo...kweli mna safari ndefu

Km unabisha niletee sehemu iliyojengeka zaidi ya hzo tatu..povu rukhsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
juzi nimesafirisha mzigo kwa bus ya tahmeed unaenda tanga👇👇👇👇
A5B4F9C4-8000-436B-99BF-A6EB65CF9603.jpeg
 
Bwahahaaa..nairobi tayari kuna kariakoo nyingi sana...
Narudia tena, dar sehemu zilizojengeka ni cbd, kariakoo na upanga..

Yani kw ukubwa wote ule halafu maendeleo yapo kiduchu hvo...kweli mna safari ndefu

Km unabisha niletee sehemu iliyojengeka zaidi ya hzo tatu..povu rukhsa

Sent using Jamii Forums mobile app
hebu tuoneshe hzo kariakoo ndani ya nairobi tuzione😂😂😂😂 hio upanga ina density kubwa zaidi ya CBD + westland + upperhill combined hehehe alaf unazungumzia kariakoo ndio kabisa hugusi hata ukucha
 
Nimeitoa kwa jamaa fulani kuhusu tiba asili ya covid-19 - JamiiForums

HII HAPA NI DAWA YA CORONA YA KUNYWA

Ndugu zangu mwenye macho haambiwi tazama, dawa hizi zimesaidia watu wengi usipuuze, kule juu nimeweka dawa ya kujifusha, ila hiyo wataalamu wangu wa mitishamba wanasema inafanya kazi kwa mtu ambaye dalili ndo zinaanza ila mdudu akishaingia kwenye mapafu na kuanza kufanya yake ni ngumu kumtoa kwa mtindo wa kujifusha, wanasema kujifusha inafanya kazi pale tu mtu ataitumia ndani ya siku nne baada ya kuhisi dalili, ila kwa yule ambaye tayari ameshaanza kupata madhara au tayari yupo katika critical condition atumie mchanganyiko huu kwakweli utamsaidia sana

MAHITAJI;

Unga wa tangawizi nusu kilo
Unga wa karafuu nusu kilo
Unga wa zaatari nusu kilo



MATUMIZI;

Chukuwa kila dawa kijiko 1 kikubwa changanya pamoja vijiko 3, katika hivyo vijiko 3 utatoa kijiko 1 kikubwa utaweka ndani ya sufuria kisha weka maji glasi 1 na nusu kisha weka jikoni kwa moto usio mkali sana chemsha kwa dakika 10 kisha ipuwa, ikiwa bado ya moto chukuwa limao moja kamulia ndani yake koroga vizuri unywe kama unavyo kunywa chai, ndani ya hiyo dawa usije kutia asali wala sukari kunywa hivyo hivyo, na kama umeshapata ugonjwa utakuwa unakunywa kwa siku mara 4 baada ya masaa 3, yani utachukuwa ule mchanganyiko wa vijiko 3 vya dawa utatoa kijiko 1 utaweka ndani ya sufuria na kisha utaweka maji glasi moja na nusu utachamsha kwa dakika 10 utaipuwa na kuiweka dawa ndani ya kikombe pasipo kuichuja kisha utaikamulia limao na kukoroga na kunywa utakunywa hiyo dawa kila baada ya msaa 3 kwa siku utakunywa mara 4 au hata mara 6 sio mbaya(kwa wale ambao ugonjwa ushaanza kuwatafuna) ukitumia siku 7 siku 10 mpaka siku 15 utakuwa umepona kabisa.

Asanteni sana na Mungu atubariki kwa pamoja tumshinde adui huyu.
Sasa ndio uipeleke hyo taarifa kw wizara waanze na wale wa corona..
Wakipona ndio itakua ni vyema zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo aliefariki jana alikuwa mzima, amepata shida ya kupumua siku mbili tu za nyuma jana ndo kafikiwa na umauti,

kama haijakutokea utaona kama ni utani, ila likikutokea ndo utaamini. mim mwenyewe nilikuwa naona ni utani
kuna pumu, kuna nimonia, kuna TB etc au zilikua hazipo kabla ya corona???
 
Back
Top Bottom