komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kwhyo ikulu ya chato ndio mainchato kuna ikulu budaa au hujui hilo [emoji23][emoji23] alaf kuna waziri mkuu na wizara ya afya ndio wahusika wa kazi hio unataka yeye akaponeshe wagonjwa???
Sent using Jamii Forums mobile app