komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kabisa, tena mpka usafiri wa kwenda nje ya nchi umesitishwa dunia nzima wewe unatarajia nnhuu mwaka ni hatari sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa, tena mpka usafiri wa kwenda nje ya nchi umesitishwa dunia nzima wewe unatarajia nnhuu mwaka ni hatari sana
Hee leo unampangia raisi wa Tanzania akae wapiWacha kutetea ujinga wewe, maraisi sai wapo sehemu zao husika...
Unataka kusema ikulu ya chato ndio main
Sent using Jamii Forums mobile app


Tz kuna ikulu nyingi so anaamua tu akae wapisiku utaweza kupambana na density ya upanga alone mm nafunga account jamii forum😂😂😂😂
Sasa Kilimani ni forest area utalinganisha vipi 😂😂😂Hiki kitu kidogo kuliko Kilimani ndio unataka kufananisha na Nairobi yoteView attachment 1437296View attachment 1437299
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeambiwa ulete picha nyngineilala huiwezi ndio napoishi mm hapo ni kubwa na ndio kariakoo ya pili hio![]()
hahaha wanamatatizo mia mbili kidogo😂😂Hee leo unampangia raisi wa Tanzania akae wapiTz kuna ikulu nyingi so anaamua tu akae wapi
😂😂😂😂😂Sasa Kilimani ni forest area utalinganisha vipi 😂😂😂
Hao watu wa mtaani nani kawapima, jamaa mbona msiwape nafasi madaktari wazawa wafanyie test hvyo vitu km je vina madhara baada ya matumiziTunaitumia mtaani na tunapona hamna shida na najitahidi kuisambaza kwa kadri niwezavyo WaTz wote waitumie.
kwan hii huitaki inashida gani😂👇👇👇 au imekukosea
uhehehehe marekani baadhi ya majimbo yameanza kufungua na china pia tayar nimeskia na italy washaanza kufungua na rwanda pia tayari vp curfew kwenu munayopiga watu ovyo kama watumwaKabisa, tena mpka usafiri wa kwenda nje ya nchi umesitishwa dunia nzima wewe unatarajia nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijiko kiakapambane na masahanihebu ipambane na upper hill alaf tuone kama utatoka wima humu ndani![]()
kama huna ubavu tulia budaa😂😂😂
Bwahahaa!!bado posta ni ndogo tuuhehehe from CBD to upperhill 3km alaf from CBD to westlnd 3km alaf bado munashindana na dar![]()
Kwn cbd dar hakuishi watuHaufaham yakwamba 4.5km full of high rise buildings and busy street is worth than 4.9km of residential area?fyi kiliman is not even close to be called cbd
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwhyo mtu akifa anapelekwa amana kw ajilibya vipimo sio...kwan vifo havikuwepo kabla ya corona au magonjwa hayakuwepo kabla ya corona waty wanachoogopa sasa hvi ni kwamba mtu akifa lazma serekali ikamchukue kwa ajili ya vipimo ndio maana watu wanazika kimya kimya
vumilia na maumivu hehehe 3km from CBd to upperhill and 3km to westland alaf munashindana bado😂😂😂😂
Hahaaa!!rais yupo kijijini kisha ywawambia nynyi mpige kazi...kwani chato iko uganda au![]()
jaribu basi tuone hvo vikombe 😂😂😂