Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asiende dar bana, si IEBC yenu itashughulikia, si hata waziri mnae pia katika hyo sekta[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
waziri mkuu yupo waziri wa afya na wizara yake ipo unataka yeye akaponeshe wagonjwa au 😂😂😂 leo hii mumefkia hatu yakumpangia magufuli kazi yakufanya
 
Ongelea Kenya ucongelee nchi za wengine, mm nmemeta projects za Tz, ss na ww lete za kenya uclete excuses hapa, zen leta ushahidi hapa kwmb over 80% ya wana DSM hawachangii chochote kwny uchumi wa nchi
Ukweli inakuuma sana, corona imewaumbua. Nchi ovyo, nawa hurumia tu. Weka vipicha vya Dar niburudike na uzuri (precisely the few developed selected area, the rest 90% tunakujua) flyovers zimefika ngapi?.,
 
Back
Top Bottom