Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo lako mgumu kuelewa, nimekuuliza unazifahamu aina ngapi za aerial photographs? Kama unazifahamu ungeelewa moja kwa moja kuwa aerial tunayo itaka ni high-oblique ukikosa hata lower oblique sawa tu na sio aerial photo unayo fikiria wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usitoke nje ya mada kabisa, swali ni je!!mbna huaga hamjielewi km mnataka nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mara aerial, ikiletwa mnasema tu zoom[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muongo mwngine huyo...
Haya tueleze km ilikuwa mombasa wapwapi jomba nikuumbuwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbn mnaweweseka, mtu bdo hajamalizia story mnaanza kumklash as if amesema alikutana na uharo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] komora jiamini tu huenda jamaa alistuka baada ya kukutana na maendeleo makubwa huko msa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ishu kupiga ukuta tu hao watalii wawe wanauangalia tu kwa mbali bila kuukaribia af tuone km watakubali maamaee
Ukuta labda uwe kama wa Babel! Haiwezekani mzee dawa ni kutangaza our good spots pia! Kwa mfano view nzuri zaidi ya hiyo ya Amboseli inapatikana tokea Arusha NP kutokea Ngurdoto crater, ila haijatangazwa vilivyo!
 
Mbn mnaweweseka, mtu bdo hajamalizia story mnaanza kumklash as if amesema alikutana na uharo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] komora jiamini tu huenda jamaa alistuka baada ya kukutana na maendeleo makubwa huko msa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Juzi nilimkamata ichoboy, leo pia nataka kumkamata mwenzako...we pia ukijilengesha na mombasa nakuumbua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom